Nilikuwa napokelea Posta Mkuu.Ebay unapokelea wapi?
Nilikuwa napokelea Posta Mkuu.Ebay unapokelea wapi?
Wapo Mikocheni, wanatumia agent wa Speedaf kwa hapa bongo.Aliexpress mzigo unapokelea wapi?
Soma post #22Allexpress na ebay wana ofisi hapa bongo na mikoani au ndio uende posta wakatutulengeshe na tra?
Sahihi niliagiza smartwatch ilibidi nicheke maana hata mwanangu naona akuipenda ipo chumbani mwao inazagaa na hapo walinipiga 35k katika picha ilikuwa bonge la saa! Siku hizi natumia Ali Express katika manunuzi yangu kutoka china.nimewahi agiza bidhaa mara mbili ingawa sio za ki eletronic, unachoona kwenye picha na uacholetewa ni vitu viwili tofauti.
Allexpress na ebay wana ofisi hapa bongo na mikoani au ndio uende posta wakatutulengeshe na tra?
Wapo Mikocheni, wanatumia agent wa Speedaf kwa hapa bongo.
Kuna option ya kufuata mzigo au delivery, ni wewe utakavyotaka.
Dah wana bei, kuna product naona inauzwa 11000 ila usafiri 80,000Nilikuwa napokelea Posta Mkuu.