hahahahah. .waoneeni imani jamani! !
Eti wajuba..kama hizi mamsi zipo LIKIZO lile tishio la miaka 30 linakua bado linatuhusu??
@NgarenaroBoy.
Mafundi hawa! Acha kabisa aisee!Jamani hawa ni watoto kabisa.. hawana hata hisia.. wanakalia hata dudu na kuchezea na hawajui kazi yake.