Hivi Arusha na Moshi ni mchezo gani unachezwa zaidi?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
Naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. Ni mchezo gani unachezwa sana huko?
 
naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?
Betting
 
kule hamna kitu....ni bange tu na punyeto ndo mana wapo mtu mbili tu
 
Acha uduanz chalii.huku tunakimbizana kushika DOLLAR .Tunajifunza lugha za kigeni hatuna mda mchafu wa kuchezea....hiv ushawai shika dola wewe?ushawai pakata mzungu wewe..unaijua tanzanite?

Zibitisha unachokisema....isjekuwa umekrupushwa na bardi la mount meru
 
naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?

Arusha na Moshi tunacheza Rugby. Maana rugby sio mchezo wa wala chips mayai. Home ground ya team ya Taifa ya Rugby inayojulikana kwa jina la Twiga ni Friedkin Recreation Ground pale Burka.

Team hii imewahi kushinda kombe ya CAR Castel cup mwaka 2006.

Pia makao makuu ya chama cha Rugby Tanzania yaani TRU yapo Arusha. (Nadhani ndio makao makuu pekee ya chama cha mchezo Tanzania ambayo hayapo Dar....maana huko Dar ni makao makuu ya hadi chama cha Bao!).

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Tanzania_national_rugby_union_team

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Rugby_union_in_Tanzania

Proudly Arushan
 
Zibitisha unachokisema....isjekuwa umekrupushwa na bardi la mount meru
c5ffcc139f00b7889d8b1c5a8cfd1b4e.jpg
838ee2ab046d7fb2c256213e28291332.jpg
40438d6814e60ef82b0e70778afadfd1.jpg
karibu Arusha na Moshi Chalii
 
Back
Top Bottom