Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,738
Leo ni usiku wa ulaya.

Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.

Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
 
Kama arsenal wakianua kuiheshimu masdrid na kujilinda vizuri

pia kua hatari yaani kushambulia kwa caunta ila kwa uhakika na kutumia nafasi wanaweza kuifunga madrid vizuri tu.

Ila wakiwa machachari kupiga mpira mwingiiiii watapigwa kama ngoma
 
Kwa muendelezo wa matokeo yasiyoridhisha kwa Real Madrid naweza mpa nafasi Arsenal lakini nafasi hiyo ni ndogo sana maana Real Madrid haitabiriki kwenye haya mashindano.

Hala Madrid!
 
Kwa muendelezo wa matokeo yasiyoridhisha kwa Real Madrid naweza mpa nafasi Arsenal lakini nafasi hiyo ni ndogo sana maana Real Madrid haitabiriki kwenye haya mashindano.

Hala Madrid!
Kule laliga anaanza kupoteza mwelekeo hivyo anaweza kuwekeza nguvu zaidi huku na ukizingatia Madrid kwenye hii michuano huwa Hana mchezo
 
1739738801427.jpg

Chuma inapasha na iko wayales angani.
 
Madrid sio wazuri sana msimu huu
Sio tu sio Wazuri kimsingi ni wabovu kabisa sema Spain league ni kama NBC hata Simba na Yanga wakicheza under 20 bado mmoja atakuwa bingwa na mwingine nafasi ya pili
Madrid dk 90 hujui team inacheza mfumo gani
Mtu wao wa PR kateka robo ionekane game Yao ndio main match wakati hakuna lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom