hivi android na ios ni kitu kimoja

hivi android na ios ni kitu kimoja

Android zipo version kibao,enclair,donut,gingerbread,icecream sandwich,jellybean na kitkat
same to IOS,sa sijui unaongelea ipi mkuu?be specific....
android na IOS ni vitu viwili tofauti
 
ios kwa ajili ya simu za apple tu,mfano iphone,so ni tofauti
 
Nabishana na mdau moja
naombeni jibu

Hivi ni vitu viwili tofauti mkuu.

Android vs iOS - Difference and Comparison | Diffen

The difference between iOS and Android developers and why it's not just a numbers game | iMore

ZrUts95c2lsOVmaOlV4CxGHL4f8PiwfureLrPVsAAAAASUVORK5CYII=

D LDM3qUA7qUQAAAABJRU5ErkJggg==
 
Hapana ni operating systems tofauti. Kwa lugha nyepesi ni kuwa iOS inatengenezwa na Apple Inc. watengenezaji wa iphone n.k. Android inatengenezwa na kampuni la Google na utaipata kwny simu za samsung, htc, xperia...wakati iOS utaipata kwny iphone tu.
 
Hapana ni operating systems tofauti. Kwa lugha nyepesi ni kuwa iOS inatengenezwa na Apple Inc. wa
tengenezaji wa iphone n.k. Android inatengenezwa na kampuni la Google na utaipata kwny simu za samsung, htc, xperia...wakati iOS utaipata kwny iphone tu.

Kumbe hii ndio tofauti yake. Aksante kwa ufafanuzi mzuri. Hivi kama android inatengenezwa na google, je kazi ya sumsung nini? Wao hawana kitu chao binafsi kama ilivyo kwa apple?

Na je huu ugonvi tunaousikia kati ya apple na sumsung kwa nini tusiseme ni kati ya apple na google? Au zipo applications za sumsung kama wao?
 
Kaka Sumsung ni harware company Google ni software company.
Kama kwenye komputer
Computer Hardware inaweza ikawa DELL kutoka kampuni ya DELL
inatumia Windows 8 kutoka kampuni ya Microsoft
 
Actually Android ni open source project lakini Google ndo wachangiaji wakubwa kwenye project hiyo. Kwa vile ni open source mtengenezaji yoyote wa simu yupo huru kuitumia kwenye simu zake, ila ukitaka iwe na Apps za Google kama Play store, Gmail na Maps ni lazima ufuate masharti ya Google maana hizi Apps sio open source.

Ndo maana Android nyingi za kichina haziji na Play store.
 
Hapana ni operating systems tofauti. Kwa lugha nyepesi ni kuwa iOS inatengenezwa na Apple Inc. watengenezaji wa iphone n.k. Android inatengenezwa na kampuni la Google na utaipata kwny simu za samsung, htc, xperia...wakati iOS utaipata kwny iphone tu.

Na Blackberry Je ?
 
Kumbe hii ndio tofauti yake. Aksante kwa ufafanuzi mzuri. Hivi kama android inatengenezwa na google, je kazi ya sumsung nini? Wao hawana kitu chao binafsi kama ilivyo kwa apple?

Na je huu ugonvi tunaousikia kati ya apple na sumsung kwa nini tusiseme ni kati ya apple na google? Au zipo applications za sumsung kama wao?

kaka ugomvi wa samsung na apple upo pande mbili, upande wa hardware na software.

kwenye hardware samsung kashtakiwa kwa kosa la kuiba design ya apple (round corner)

kwenye software samsung kashtakiwa sababu skin yake ya android (touchwiz) imeiga muonekano wa ios.

kwenye android kila manufacture akipewa android basi anaitengeneza anavyotaka yeye. samsung anatumia android na juu kaeka skin ya touchwiz, htc anatumia android juu kaeka sense, sony ana yake, xiaomi ana yake na wengine.

samsung pia ana kitu chake binafsi kinaitwa tizen ambacho katengeneza yeye na intel. nafkiri mwisho wa mwaka huu tutaziona simu za samsung zinazotumia tizen
 
Nashukuru kwa shule tosha, Kaka!!
 
Back
Top Bottom