Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
View attachment 1255730
Kwa nini asijiamini kama Mtanzania anayejijua anafanya nini.Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
View attachment 1255730
Acha hizo, mental inferiority brings self humiliation.Wote wawili wako so bright .Mufuruki ana akili nyingi mno na Professor Assad Ana akili Sana Tena Sana tatizo lao moja tu kubwa they don't know how to get along with other people and don't have spirit of teamwork and team responsibity .May be it is due to their religious upbringing that teaches them to scorn others who are not of their faith as inferior.
But as far as I am concerned Ali Mfuruki is one of the few Tanzanians who have certified highest IQ.
Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
View attachment 1255730
Hii yehodaya umeiandika kwa maumivu najua kwasasa praise team kumsifu cag assad Ni vigumu sanaWote wawili wako so bright .Mufuruki ana akili nyingi mno na Professor Assad Ana akili Sana Tena Sana tatizo lao moja tu kubwa they don't know how to get along with other people and don't have spirit of teamwork and team responsibity .May be it is due to their religious upbringing that teaches them to scorn others who are not of their faith as inferior.
But as far as I am concerned Ali Mfuruki is one of the few Tanzanians who have certified highest IQ.
Mkuu sidhani kama ilielewa huo ujumbe kwasababu sioni neno baya katika quote yakeLabda kama unamaana ingine,lakini sijaona chakumchukiza Jiwe kwenye hayo maelezo ya huyu Billionaire.
Labda utume hayo maelezo mengine uliyoyaona mpaka ukahisi Ally anajiamini sana kama ulivyo andika.
Nashauri Waislamu waweke ajenda ya kubaguliwa kuwaondoa ccm madarakani, wajiunge na upinzani bila kujali chama ili Mecco 2020 iwe ndo mwisho wake ila mkisubiri 2025 mkidhani atapewa muislamu msahau kabisa, unganeni na upinzani muweke mgombea ambae ni muislamu Mecco atang',okaAcha umbea wewe mvulana, unataka amwogope JIWE/MEKO?
Ana hela zake , anajua kingereza MEKO hajui.
ana makampuni n connection na hana mawazo ya kimaskini, kwanini asijiamini?
Una roho mbaya ya UVCCM, damu za watu zi mikononi mwenu, mnafikiri mmemkomoa ASSAD kumbe chura kapigwa teke, kaenda zake UN na marekani kwenye biashara zake
Sio rahisi intelligent people to get along well with the "below average minds".Wote wawili wako so bright .Mufuruki ana akili nyingi mno na Professor Assad Ana akili Sana Tena Sana tatizo lao moja tu kubwa they don't know how to get along with other people and don't have spirit of teamwork and team responsibity .May be it is due to their religious upbringing that teaches them to scorn others who are not of their faith as inferior.
But as far as I am concerned Ali Mfuruki is one of the few Tanzanians who have certified highest IQ.
Mimi nijikombe kwa Ali Mfuruki au Profesa Assad kwa lipi? Waislamu wako wenye akili nyingi mno Tena Sana Yuko profesa Lipumba,Yuko Dr Dau,Yuko Mufuruki Yuko Profesa Assad,Kinana,Profesa Kapuya nk waliibuliwa na Mwinyi na Kikwete Kuna wengine walioibuliwa na awamu hizo mbili hasa, ambao nimewasahau wanisamehe bure lakini tatizo lao ni incompatibility with others whether seniors or juniors whether of their faith or not.Acha hizo, mental inferiority brings self humiliation.
Sijui kwa nini watanzania tunapenda kujikomba komba ndo tutambuliwe.
Intelligence is also about knowing how to get along with other people of high intelligence or low intelligence.Sio rahisi intelligent people to get along well with the "below average minds".
uyo baba ni mcha Mungu, Kwaiyo nadhani yeye anamuhofia Mungu tu, sio binadamu mwenzie anaechutama kunya,Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
View attachment 1255730
Ulitakaje.?????Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
View attachment 1255730