Hivi Ajira zinatoka lini!???

Hivi Ajira zinatoka lini!???

Ajira za mwaka huu ni kwa GPA maalum nayo ni kuanzia 3.5,je unayo? Kama huna jishughulishe na kazi nyingine sio Lazima serikali ikuajiri.Ila kwa ufahamu wangu wa haraka haraka wewe utakuwa mtoto wa Mkulima na kama sio basi mzee atakuwa anafanya biashara sokoni,ikiwa sivyo basi mzee wake ni dereva wa taxi na kama sio basi mzee wako ni mjanjamjanja tu wa mjini ila napo kama sio basi mzee wako ni mcheza bao vijiweni au mzee wa kahawa.Kwa upande wa pili baba zao ambao wanafanya kazi Tanesco,Nssf,NHIF,PPF,madaktari,wafanyakazi wa serikali ambao wana nafasi,na pia katika mashirika mbalimbali ya umma na binafsi wameshaajiriwa ila wewe bado,mshauri mzee wako atumie umaarufu wake na kufahamiana na watu ili uajiriwe na serikali.mimi mwenzio sina baba na hata marafiki wa marehemu baba yangu waliacha hata kunisalimia miaka 10 iliyopita nikiwa mtoto wa mtaa ila leo nimemaliza degree bado nakomaa mtaani na nishazoea hata nisipoajiriwa NITAKAMATA JEMBE KWA NGUVU ZANGU KWA KUWA SINA MSAADA MAISHANI MWANGU...! Laiti kama humu JF tungekuwa tunaonekana basi mimi ningedharaulika sana na hata mawazo yangu kutopata support.Kupitia JF najifunza mambo mengi sana.
 
Hivi nini hasa maana ya Mfanyakazi?
Mfanyakazi ni mtu anayezalisha kwa ajili ya mtu fulani na yeye kulipwa na hatimaye mtu huyo apate faida.
swali je ,kama unalipwa mil.1.2 kwa mwezi huyo unayemfanyia kazi anapata faida kiasi gani kwa mwezi mzima ambao wewe unafanya kazi? Je,huu sio utumwa? Kibaya zaidi kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuwa mishahara haiwatoshi lakini bado mtu unatoka kifua mbele kujitambulisha kuwa wewe ni mfanyakazi.nonsense!
Katika fikra za kawaida mfanyakazi yeyote yule ni Mtumwa kwa sifa zifuatazo
1.Kutokuwa na muda wa kufanya shughuli nyiongine za kijamii katika maisha ya kila siku.
2.Mfanyakazi yeyote yule hana financial freedom katika kila kipindi fulani cha muda.
3.Mfanyakazi ni mchumia tumbo wa kila siku tofauti yake na watumwa wa enzi hizo ni mazingira ya kufanyia kazi tu.
4.Mfanyakazi yeyote yule ni muoga kwa bosi wake kama ilivyo kwa watumwa mbele ya mabwana zao.
5.Mfanyakazi ni dhaifu wa hoja za kujenga mbele ya aliyemzidi wadhifa.
lakini tazama Mfanyabiashara mdogo anayekwenda kuchukua mzigo kwa tajiri,hakuna woga wala nini kwakuwa anaamini anachokifanya.
Msomi wa zama hizi hawezi kutumia taaluma yake kupamabana na ugumu wa maisha.Kuwa mtumwa wa muda kisha fanya jitihada za wewe kutokuwa mtumwa maishani mwako.
Mwajiriwa huwa anaanza kusuffer financial crisis soon after having a family to handle,coz hapo kuna mtoto kaumwa,mtoto shule ada,mtoto kuvaa,familia mkono kwenda kinywani,mavazi ya familia kwa ujumla,bill ya umeme na maji kila mwezi na hayo ni kama umejenga kama hujajenga KODI KODI KODI ya nyumba.
Hizi ni fikra za mtu mweusi ambaye ni MchovuWaFikra.
 
Ni uvumilivu tuuu, nafasi zitatoka coz short list ya majina bado ila nimesikia kuajiriwa kwenye novemba mtaajiriwa.......Daah vumiliya tuu wng hata mm nilivumilia sana hadi mwaka jana ndiyo niliajiriwa
Thanks dearest
 
Ajira ni ndoto,mbaya zaid Kuna Mdogo wangu aliajiliwa mwez 5 na Mahakama,katkat mwez 6 wakapewa barua kusitishwa kwa ajira zao ili kupisha uhakiki watumish hewa,waliambiwa miez 2 haitazd,nawaliambiwa tayr wamesain mkataba hvo hawatakiwi kuajiriwa popote mpaka wapate barua ya mwajir! Lakn mpaka leo miez 5 inaisha bila hata taarfa! Hana mbele na nyuma kama ndo ww anakuomba ushaur utamshaur nn?
 
Mpe pole sana ila kama ni mwanasheria kwanini asianzishe chamber au akafanye kazi kwenye chamber yyte au aende mahakamani kuanzisha shauri la kupinga ombi la serikali la kusimamisha kazi kinyume na mkataba kwa mda wa miezi mitano atapewa kibali cha ajira
 
Kiukwel ni changamoto,kusitishwa ajira bira mda maalum! Mpaka sasa hv hata hajui afanye nn, maana hata aktaka afanye kaz sehem hajui atafanya kaz kwa mda gan! Anachokua anahofia ni pale mda haujulkan wa lini atard job, alimpgia cm mwajr wake akaambiwa hata yy hajui lini atard kazn,anasema hayo maamz yapo mikononi kwa rais,mpaka amalize uhakiki wake!
 
Uhakiki wa baraza nao mpaka Nov 14! Dogo kachoka akili na hana nguvu,tayr alikua ameanza kaz,kapewa na hela ya kujikim kila kitu,kard na coppy na barua ya ajira na barua ya kusitishwa kwa ajira kwa muda! Sasa naona kjna hana iman na lolote wala chochote, yupo njia panda! Kila nikimpa moyo kuwa mwez ujao lazma watoe muda unafka na unapta hakna kitu, serkal ijarb kuona vjana wanavyoteseka aisee!
 
Habari za asubuhi wana jf..kuna swali moja kama kuna mtu anaweza kunijibu tafadhali naomba ufafanuzi.. ilikuwa mwaka jana ambapo tulimalza shule kwa furaha tukiamini tunaenda kulitumikia taifa kwa yote tuliofundishwa tukiamin kuanzia mwezi wa kumi tutapata kuajiriwa lkini haikuwa hivo.. tukapewa matumaini kwamba pengine baada ya kuteuliwa baraza la mawaziri tutapata kupewa post tukalitumikie taifa ila haikuwa hivyo.... ilipopita tukaambiwa kwamba baada ya bunge la bajeti tutapewa ufafanuzi na kupewa post.....ila baadae kwa mapenzi mema ya nchi hiii mheshimiwa raisi magufuli alitangaza kustisha ajira ili kupisha uchunguzi wa wafanyakazi hewa naalitoa miezi miwili zoezi likamilike na kutoa ajira mpya mbona siku zinapiata na hatuoni hzo ajira tatizo ni ninini?
Njoo nikupe fursa ya kujiinua kiuchum na kujiongezea kipato huku ukisubir hiyo ajira yako ,nichek inbox
 
Ajira ni ndoto,mbaya zaid Kuna Mdogo wangu aliajiliwa mwez 5 na Mahakama,katkat mwez 6 wakapewa barua kusitishwa kwa ajira zao ili kupisha uhakiki watumish hewa,waliambiwa miez 2 haitazd,nawaliambiwa tayr wamesain mkataba hvo hawatakiwi kuajiriwa popote mpaka wapate barua ya mwajir! Lakn mpaka leo miez 5 inaisha bila hata taarfa! Hana mbele na nyuma kama ndo ww anakuomba ushaur utamshaur nn?
Mwambie aje tufanye network marketing huku tukisubir kurudishwa pamoja
 
Njoo nikupe fursa ya kujiinua kiuchum na kujiongezea kipato huku ukisubir hiyo ajira yako ,nichek inbox
Nashukuru sana kwa kuonyesha wema kwangu ila nina kampuni tayari na pia nina pharmacy yangu mwenyew pia ninajishughulisha na kilimo cha mazao mbali mbali hvo kipato changu si haba
 
Nashukuru sana kwa kuonyesha wema kwangu ila nina kampuni tayari na pia nina pharmacy yangu mwenyew pia ninajishughulisha na kilimo cha mazao mbali mbali hvo kipato changu si haba
Safi sana ndugu,hongera sana kwa hilo ,big up
 
Maisha ni safar hvo bila misukosuko hujajfnza! Serkali yetu haijatulia na kuweka sawa mambo yake, kikubwa ni kufkr namna ya kujiajir hata kama unaajira serkaln au popote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom