tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
Thank you for using Airtel services. You have already used 0MB of your 0MB bundle, Your remaining balance is 0MB.....
kila nikiuliza balance ya bundle wananipa huu upuuzi., je ni kwangu peke yangu au na nyie yanawakuta haya?
huwa nanunua 400mb lakn hawajawah kunionesha salio, sijakurupuka ndugusasa mkuu ulitaka liandike una salio 0Mb katika 400 Mb wkati ujaweka salio ni ngumu sana mkuu..
bundle ipo natumia mpaka muda huu.yani kifupi hujajiunga na bundle ndo server inavosoma. Kama mimi msahaulifu naweza ninunue credit halafu nsiunge bundle(akilini najua nimeunga) nkatumia credit yote baadae ndo nishtuke kua skuunga
jamaa wanaboa, mi mara kibao wananizingua hata kunuaSasa mimi bundle yangu ya 400mb imeisha nimeweka pesa ninunue bundle nyingine wananiambia maliza ya kwanza ndio ununue ya pili wakati inasomma 0 kabisa yaani nimechoka kabisa.