GE2025 Hivi aina hii ya kampeni ni Tanzania tu au na nchi nyingine pia hali iko hivi? Viuno vya Kangi Lugola kwenye kampeni

GE2025 Hivi aina hii ya kampeni ni Tanzania tu au na nchi nyingine pia hali iko hivi? Viuno vya Kangi Lugola kwenye kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unashangaa kukata mauno kwenye kampeni huyo mzee kipindi cha Magu alikata mauno na askari wa kike huku akiwa na cheo cha waziri wa mamboya ndani.
 
Vituko ni vingi sana kwenye hii Nchi, Huyu jamaa kipindi ni Waziri wa Mambo ya Ndani Alikua anaingia Bungeni Akiwa Amelewa Jiwe akamtumbua
 
Kwenye hicho chama ni kawaida sana.
Magu alipiga pushup 😅
Kumbuka siasa ni ujanja ujanja tu, huko ni uongo na wizi hakuna la ziada.
 
Kuna wakati hizi Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wagomea huwa wanaamua kutoa burudani na kubaki kuwa kicheko kwa wananchi

Hapo kamaliza kutoa sera za uongo akaamua akate miuno kidogo


 
1000079077.jpg
Tukipunguza userious kidogo huyu 'anti' siyo haba
 
Kama hakuna uchaguzi kwanini mtu asifanye vituko, hadi hapo wewe unaamini kuna uchaguzi?
 
Washaona wala usipate tabu, wewe washa mziki kata viuno wachekeshe kidogo piga blah blah za hapa na pale then umewapata, si kwamba wanasiasa hawana akili Bali wanakwenda na biti la collective mentality ya Jamii husika, As above so below.
 
Ukiwa serious Tanzania lazima utapat magonjwa ya akilia na moyo.
 
Back
Top Bottom