Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Wamelipwa kimyakimya wananunulia wapinzani.
Huku mtaani vyuma vimekaza na grisi ya kuvilainisha hakuna! Zingelipwa zikaingia kwenye circulation huenda mambo yangekuwa ahueniAisee!!!! sasa Uncle Jei Jei valentine hii na wewe unafukua makaburi kaka
Huwa ninajisikia kinyaa kabisa ninapoona neno 'Prof.' kwa maprofesa watanzania hasa huyu Kabudi.Wakumuuliza hasa ni Prof Kabugi.