HIV RAPID TEST

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Wakuu habari za muda huu!

Leo nimekutana na mkanganyiko wa majibu ya HIV test baada ya kumpima girlfriend wangu...

Kwanza ilionesha Single Line Kwenye Control "C" baada ya dk 5-10 hivii tangia nilivompima.

Nikakiweka pembeni nikapiga nae story lakini nlivoenda kuangalia baada ya dk 70 hivii nikakuta mistari 3 yanii kwenye 1, 2 na C

Wakubwa hapo ina maana gani
 
Hivi vidude sio vya kuviamin sana mnaweza kuuwana bure. Cha msingi nenda kapime hospital kwenye wataalam.
 
Umekula Chakula Cha Mchana
Unapenda Sana Kuloweka Wewe Siyo Bure
 
Hivyo vipimo vimeandikwa majibu yasomwe ndani ya dakika 5 - 30 tu. Majibu yatakayosomwa baada ya saa moja sio sahihi. Ndio sababu wanaowapima watu huwa hawaruhusiwi kuwapa watu hivyo vipimo kwenda navyo nyumbani.
 
umeambiwa isome majibu within 5min wewe unasoma baada ya 70min!

fuata maelekezo kijana
 
Wakuu habari za muda huu!

Leo nimekutana na mkanganyiko wa majibu ya HIV test baada ya kumpima girlfriend wangu...

Kwanza ilionesha Single Line Kwenye Control "C" baada ya dk 5-10 hivii tangia nilivompima.

Nikakiweka pembeni nikapiga nae story lakini nlivoenda kuangalia baada ya dk 70 hivii nikakuta mistari 3 yanii kwenye 1, 2 na C

Wakubwa hapo ina maana gani
hivi vipimo vinapatkana wap?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom