Hiv ni kwel?

Hiv ni kwel?

Kwenye Shintoism hakuna kitu kama Nirvana ila ipo Kami.
Hawahangaiki na afterlife kabisa
Na ndio binadamu wenye ustaarabu kuliko watu wote hapa duniani.
Hizindini kutishana tuu mara unabeba nyota mara sijui utaenda motoni basi somjo tuu.
Muhimu ni unaishije na wenzio ukiwa hapa duniani
 
Uchi wa mwanamke ni baraka
ngono nh sehemu ya ibada ndio maana viumbe vyote chini ya jua vinajamiana!
 
Hizi imani zipo kwa masikini tuu manake sisi lazima kila kitu tukitafutie sababu. We kama ni wakupata mikosi utaipata tu hata usipolala na yoyote.
 
Back
Top Bottom