Hiv ni kwel?

Hiv ni kwel?

Kuna wanaopandisha na kuwasha zaidi nyota yako. Mm ni shuhuda mara baada ya kumgonga kahaba yule miaka kumi iliyopita nipo level zingine kabisa Kwa sasa.

Uzuri alinitunuku tu Kwa kunihurumia mana nilikuwa fala tuu, akaniambia umenidinya leo basi maisha yako yataboreka sana. Nakweli nilianza kuona vitu vinatokea tuu kiajabu ajabu kuhusu kazi, kipato, heshima mpaka kupata mke wa ndoto yangu.

Ila alikufaga yule manzi angekuwa hai ningewapa connection ndugu zangu wanaonisumbua kiuchumi siku hizi.
 
Ukilala na mwanamke anaua nyota yako.maana wahubiri wakilokole wanasema hayo. na tena eti ngono n mlango wa mapepo.
Siyo Walokole tu hata Budhists wanaofanya Yoga wanakwambia SEX ni spiritual energy exchange ambapo ukiwa na nguvu kubwa inahama kwa uyo malaya na ikiwa una nguvu ndogo unaichukua ya kwake ndo maana unaweza kudate na mtu ukaona mambo yako yanawin tu au ukawa na gundu(dalili zake kukataliwa na watu)
 
Waongo wale wanataka sadaka zako, wanajua ukiwa na wanawake wengi utakuwa bahili wa kutoa sadaka.
 
Kwenye dini ya Ubudha, tawi la Ushinto( Shintoism) wanaamini mlango wa kuelekea peponi ni tupu ya mwanamke.

Kwao hizo na ya kiume husheherekewa kabisa kama ni maeneo matakatifu.

Sasa sehemu takatifu, inakuwaje na mikosi?
We hujasoma vizuri Nivarna
 
Kuna wanaopandisha na kuwasha zaidi nyota yako. Mm ni shuhuda mara baada ya kumgonga kahaba yule miaka kumi iliyopita nipo level zingine kabisa Kwa sasa.

Uzuri alinitunuku tu Kwa kunihurumia mana nilikuwa fala tuu, akaniambia umenidinya leo basi maisha yako yataboreka sana. Nakweli nilianza kuona vitu vinatokea tuu kiajabu ajabu kuhusu kazi, kipato, heshima mpaka kupata mke wa ndoto yangu.

Ila alikufaga yule manzi angekuwa hai ningewapa connection ndugu zangu wanaonisumbua kiuchumi siku hizi.
Hilo ni wazo la kishetani
 
Back
Top Bottom