HIV negative baada ya siku 38 kutumia rapid antibody test Ina accuracy kiasi gani ?

fyegu

Member
Oct 17, 2017
51
55
Wakuu naomba kuuliza ukipima HIV kupitia kipimo Cha kwenye kidole baada ya siku 38 Ina accuracy ya kiasi gani na je majibu yanaweza badilika?
 
Upo salama mkuu, pitia soma thread zangu 2 ujifunze kitu. chamsingi sana utulie tu na kushukuru Mungu

pia itachukua muda mrefu kuwa sawa, kuna hali ya kisaikolojia itakutesa kama unauhakika binti ni Positive, lakini Mungu mwema utasahau.

nilikula sana kavu binti yule, zaidi hata ya mara 10, siku ameniambia amewaka nilipata uchizi, nilitenbea na ndala kwenda pharmacy vipimo hamna, nikarudi nikaenda hospital nikijiapia nikikutwa nao najidhuru,

Hapo najijua uzito umepungua toka 64 hadi 55, hapo najijua natokwa jasho usiku, na najijua mwili unauma uma.

Lakini Mungu ni mwenye rehema na huruma sana,

Unaweza usiwe hata muhuni lakini yakakukuta, maana mimi mwaka jana nililala na mabinti wawili tu mmoja wapo ndo huyu binti. Na ni mzuri balaa.

Pole upo sawa nafikiri
 
fyegu upo salama, nikutoe wasiwasi, Mimi nilipima siku ya 40, mambo yakawa safi na mwezi huu nimefikisha miezi 8 nimepima nipo safi kabisa.

unaweza pima na uzito kama unaona hali sio ya kawaida, unaweza usipate ukimwi ukapata TB, maana wenye positive wanakuwa na vimelea vya TB nahisi maana mimi binti aliniambukiza TB, ila nimepona sahizi nipo makini hamna mfano
 
Hofu yenu ni kifo au. Kifo hakikwepeki. Kwani HIv ni ugonjwa tishio Duniani. Hapo ulipo unajiachia na vyakula Kila aina na vinywaji vya viwandani. Kifuatacho1
 
Nahangaika hapa na PEP baada ya kula toto moja japo nilivaa kinga kwa ufasaha
 
fyegu usiogope mkuu.... Upo salama hofu hiyo wengi ilitukuta....

Imagine wenzio tuliambiwa na binti mwenyewe kuwa amwathirika.....hapo wenge lake. na uoga sio wa dunia hii lakini tumekuwa wazima kabisa Hadi Leo..

Mungu mwema skuzote.
 
Wakuu naomba kuuliza ukipima HIV kupitia kipimo Cha kwenye kidole baada ya siku 38 Ina accuracy ya kiasi gani na je majibu yanaweza badilika?
Nikikumbuka yaliyonikuta mm dah mungu mkubwa jamani nilipiga demu positive kabisa usiku nikaburudika nae vya kutosha tu ikapita cku moja nikashtuka nikasema inatakiwa nimpime yule mwanamke nilimpigia cm aje akaja kumpima kitu kikatiki dah ile cku nilikua hovyo sana uzuri wake kabla ya kumpima cku ya nyuma yake nilimeza PEP ila nilichukua vidonge viwili nilivyompima nikaona positive ikabid nichukue mzigo full wa mwezi mzm nikamaliza nashukuru mungu juzi nimejipima nimeona niko vizuri sirudiii tena maana iliniathiri kisaikolojia embu fikiria unampima demu uliyemgonga peku tena rough halafu unakuja kumpima unamkuta positive dah mungu mkubwa
 
Wewe kama Mimi japo mimi nilichelewa kujua na nilikuja kujua siku ya 38 kama jamaa hapo juu.... Kichwa iliwaka Moto na hapo nilikuwa nimepiga zaidi ya mara 6 kavu....

Sema Mungu anamipango yake mkuu, ukiandikiwa kitu kinatimia....maana kuna wengine siku ya Kwanza tu wanapata maambukizi
 
Nikikumbuka yaliyonikuta mm dah mungu mkubwa jamani nilipiga demu positive kabisa usiku nikaburudika nae vya kutosha tu ikapita cku moja nikashtuka nikasema inatakiwa nimpime yule mwanamke nilimpigia cm aje akaja kumpima kitu kikatiki dah ile cku nilikua hovyo sana uzuri wake kabla ya kumpima cku ya nyuma yake nilimeza PEP ila nilichukua vidonge viwili nilivyompima nikaona positive ikabid nichukue mzigo full wa mwezi mzm nikamaliza nashukuru mungu juzi nimejipima nimeona niko vizuri sirudiii tena maana iliniathiri kisaikolojia embu fikiria unampima demu uliyemgonga peku tena rough halafu unakuja kumpima unamkuta positive dah mungu mkubwa
Mungu ni mwema bro... mpaka kuwai PEP Huyo mwanamke positive ulipata michubuko au??
 
Back
Top Bottom