HIV Man Injects Sleeping Wife With Own Blood | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIV Man Injects Sleeping Wife With Own Blood

Discussion in 'International Forum' started by Ng'wanza Madaso, Dec 6, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  HIV Man Injects Sleeping Wife With Own Blood

  5 hours 11 mins ago
  [​IMG] © Sky News 2009
  An HIV-positive man has confessed to injecting his blood into his sleeping wife and infecting her with the virus that can cause Aids, reports have said.
  [​IMG]
  Enlarge photo
  It is believed the man wanted to give her the disease so she would start having sex with him again, New Zealand's Sunday Star-Times said.

  Court documents detailed how the man, 35, twice pricked his 33-year-old wife with a sewing needle laced with his infected blood.

  The husband discovered he was HIV-positive - but his partner and children were not - during health checks imposed on them when the family arrived in New Zealand in 2004.

  The woman had said she wanted to maintain the relationship for the sake of the children.

  But she refused to have sex with her husband for fear of contracting the disease.

  In the documents, the wife described how, in May, 2008, she found a sting-like mark on her left thigh and two days later awoke to a stinging feeling in her leg.

  She said: "I got up... and I flicked the blankets... I looked at (the husband) and he was wide awake."

  The wife asked him if he had pricked her and he said, 'No'. But she later found evidence of "blood sprinkles" on their duvet, which she said her husband tried to hide from her.

  During a routine check-up four months later, doctors revealed she was HIV-positive.

  The woman confronted her husband, who admitted dipping a needle in his blood and pricking her with it.

  "All he said (was) he was sorry. He said, 'I used needles on you because I wanted you to be the same as me so that you can live with me and you won't leave me'," she said.

  The husband has admitted wilfully infecting another with a disease and faces up to 14 years in jail when he is sentenced at Auckland High Court next year.

   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhhh.
  Ndoa ndoano........
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Haya ndio madhara ya wema!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wema upi hapo????????
   
 5. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu mwanamke alijua kuwa hili litatokea,kwa nini hakumuacha huyu bwana mapema kweli hakujua kuwa kuishi nyumba moja kama mme na mke ni lazima utoe penzi? Tangu 2004 unategemea huyu bwana atakuwa anakula kwa macho tu?
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mume ana UKIMWI, WEWE NA WATOTO HAMNAO.Bado unakubali kuendelea kuishi naye na kulala naye kitanda kimoja bila kujuana mambo mengine.Huu ni wema uliopitiliza.... Mwana mama alipaswa kuhisi kuwa hili laweza kutokea siku yoyote hata kama siyo kumtoboa na sindano yenye damu ya UKIMWI.
  Wanaume hawaaminiki sana hata kama ni mumeo!
  Nina uhakika 99% kuwa endapo mama angekutwa na virusi halafu mume akutwe hana, hilo zogo huyo mama angehama nyumba mwenyewe.Asingepata hata nafasi ya kuwaza kumtoboa ili amuambukize na yeye!
  Hili ni somo jamani wanawake.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Poor lady, amefanya kwa wema kukaa na mumewe lakini ameishia kupata HIV, in actual sense, huyo mama bado hatakuwa na hamu hata ya kutoa penzi kwani the guy amefanya kama muuaji.

  Kuna mengi ya kujadili hapo;

  1. Matatizo ya care giving system yetu, it seems the guy didnt receive proper counseling na hivyo kushidwa kuelewa anachofanya
  2. Couple yenyewe pia haikupata ushauri nasaha mzuri, kwani mkiwa na different sero status bado mnaweza kufanya mapenzi lakini kwa kutumia kinga na uangalifu
  3. mara nyingi watu wenye HIV huwa wanakuwa na msomgo wa mawazo au hata matatizo ya akili yanayoletwa na wadudu kuingia central nervous system, inawezekana kabisa hii ilichangia
  4. Si ajabu jamaa alikuwa pia na kutojiamini na kufikiria mambo ya mtu mwingine kumpa happy mkewe
  5. au hata jamaa kiu yake ilizidi kipimo na kufanya ukatili wa namna hiyo

  All in all, the guy amefanya ukatili sana kwa watoto na mke wake!!!

  Its a lesson learnt hata kwetu huku

  MTM
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kama alivyosema MTM ushauri nasaha unapaswa kufanywa tena kwa umakini mkubwa.
  Mahospitali mengi na hili nimeliona nchi za nje, UKIMWI unapimwa kama routine check up na mara nyingine wala hawatoi ushauri pre and post test.Utajijua namna utakavyo deal na majibu yako.Hiki ndicho kilichotokea kwa couple hii very unfortunately.Mara nyingi ushauri unatolewa kwa wale wanaojituma kwenda kucheki afya zao kwa hiari na lengo likiwa bayana kujua hali ya afya.
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  This man is just plain stupid and insane? Did he really expect the woman will start sleeping him again just because she would also be HIV-positive? By the way I don't blame the woman. She was just honoring the vows she gave when they got married.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MwanaFA1

  HUyu bwana ana matatizo, hakuelewa nini hasa maana ya kuishi na VVU, anastahili lawana kwa kushindwa kufikiria watoto na mkewe, yeye alifikiria kutii kiu yake tu!!! hatuwezi kumlaumu mwanamke kabisa, actually ni mfano wa kuigwa, hakumnyanyapaa jamaa na aliendelea kulala nae pamoja na kuwa na VVU, she is incredible!!!

  Cha maana ni kuchukua hii kama lessons learnt, kumsaidia mama asifikie kwenye AIDS na kuwapa proper counseling

  It is very sad na mimi naamini hata kuhu kwetu kuna watu wengi wanafanya haya either kwa makusudi, au bila kujua

  THAT WOMAN NEEDS TO NAMED AS AMBASSADOR WA UKIMWI, ILI HABARI YAKE IENEE ZAIDI
   
Loading...