HIV - AIDS tishio kwa sasa

Anakosa kufa kwa ukimwi, anabutuliwa na bodaboda, hachukui Muda anakata moto........ Hivi vitu tunavichukulia serious sana ila aaaaaah..... Kufa kupo tu, sasa shida ni utakufaje basi

Sent using Jamii Forums mobile app
uwelewa mdogo ndio maana watu wanababika sana na huu ugonjwa wanajua ukiupata ndio umeshakufa hivyo kwamba huwezi fanya chochote kumbe sio hivyo wanavozani wao.
 
Kulingana na utafiti kasi ya maambukizi mapya ni kubwa na inazidi kuongezeka kila mwaka. Kwa sasa kila saa moja ni watu 8 wanapata maambukizi mapya.

Dah hii ni hatari vijana tubadilike ingawa kuna vyanzo vingine vya maambukizi lakini tujidhahari na ngono zembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mauzo ya ARV yakidorora na misaada ya NGO zenu ikishuka mnaanza tena ku-stir panic kwenye society..., washenzi sana. Bila hizi kelele ukimwi automatically unapotea. Maana hao wanaokufa wengi hufa kwa mawazo na Liver na Kidney failure inayosababishwa na ARV, so the more panic you create the more people die.
 
Back
Top Bottom