mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
Hii App inabuni, niliitumia kila Mara Inatoa majibu tofauti,no virus ,ukiweka tena 1% need blood test
Haiaminiki
nimechacheka. umepata mfano mzuri sana. hamna kitu pale. na italeta shida kwa wanaoiamin maana bora kujua ukweli mbaya kuliko uongo unaokufurahisha kwa muda tu. kuna mtu anaitumia anapima ovyo hasa mbele ya wanawake had nikaona wanaamin kirahisi.Hiyo haina tofauti na kifaa kingine cha kipima upendo kwa walio kwenye mahusiano kwa kuandika majina ya wahusika na kisha kukupa majibu 80%, 95% n.k
Hii App inabuni, niliitumia kila Mara Inatoa majibu tofauti,no virus ,ukiweka tena 1% need blood test
Haiaminiki
Mnachokitafuta mtakipata soon
umeshaona kabisa imeandikwa PRANK, unachohangaika kuuliza ni nini hasa
umeshaona kabisa imeandikwa PRANK, unachohangaika kuuliza ni nini hasa
Kipaumbele 1. Elimu 2.Elimu 3.Elimu
Matatizo yetu mengi watanzania yanaweza kutatuliwa kama watu wakipatiwa Elimu.