HITS Tanzania, nafasi za kazi za engineering hamna? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HITS Tanzania, nafasi za kazi za engineering hamna?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kipipili, Aug 30, 2010.

 1. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wapo wapi hawa jamaa?
  i mean ofisi zao na contacts et all
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280


  kumbe mnawakumbuka

  ONYO

  ANGALIEN MSIACHE NAFASI ZENU ZA KAZI;;AITAMANIKI HII
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu mi nilivyoanza kusoma heading nikajua unamimina hapa jukwaani nafasi za kazi walizotazitagaza Hits.
  Kumbe!!
   
Loading...