Hitman na snipers(assassins) kule dark web malipo yao hutegemea nini haswa?

ZVI ZAMIR

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,288
Reaction score
3,176
Naomba wale ambao wanauzoefu au wana taarifa juu ya utendaji kazi wa hawa watu ambao hufanya mauaji kwa kulipwa kama wana taarifa watujuze hapa.
 
Malipo yao yanategemea kazi watakayo ifanya, wako wanaopipwa nusu kwanza

Wateja wao wakubwa ni wauza madawa, wahakifu wa kivita, even baadhi ya serikali, huwa wanatoa such contracts kuhitaji taarifa mtu fulani
So wana hire hacker outside ya mfumo wa serikal ili mambo yakiharibika hakuna atakaejua kama serikal inahusika

Even matajiri kwakubwa , wanawatumia against wapinzani wao kibiashara au maadui zao

So kuna variety of services. Kwa sasa wanalipwa kupitia bitcoin au dead drops
 
Ahsante sana Mkuu nilihitaji kuyafahamu haya

nature ya victim wako, kama ni politician, au public figure au mtu wa kawaida tu, in short ugumu wa kazi inategemea nature ya target husika, malipo wanapokea Bitcoin na wanafanya kazi duniani popote pia itategemea unataka kifo cha ajali, sumu, risasi etc
 
Back
Top Bottom