C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,753
Kwanza kabisa naomba hii thread isiunganishwe na zile threads za gamboshi kwani hii iko kipeekee na story yake ni tofauti
Iko hivi kuna jamaa anaitwa zabron kwa wale wasikilizaji wa rfa katika kipindi cha sintosahau jana yule jamaa mnadhani mnakumbuka alivyoeleza story za gambosh
Huyo zabron yeye alishawahi kuchukuliwa na wachawi wakampeleka huko gamboshi na huko kukaa kwake gamboshi ndipo alikuja kujua gambosh imeanzaje anzaje
Inasemekana gambosh ilijengwa miaka ya 1930's kipindi cha vita kuu ya pili ya dunia sasa ni kwamba kuna wanajeshi wa ujerumani walifika huko kijijini gambosh na inasemekana ni sehemu yenye madini mengi sana kwani iko ukanda wa madini inavyosemekana wote tunajua mara, mwanza na shinyanga ilivyo na utajiri wa madini
Sasa basi yule mkuu wa wale wajerumani walipapenda sana yale maeneo ya gambosh na inasemekana kuwa alimpelekea taarifa hitler
Hitler akaagiza patengenezwe na kuwa mji mkubwa wa kibiashara pamoja na reli , uwanja wa ndege na barabara
Jambo ambalo lilifanyika
Sasa kimbembe kilianza baada ya kujengwa na wazee wakajua kuwa wajerumani walikuwa wanataka kuwatawala inavyosemekana kuwa kwa kuwa wale wazee walikuwa ni "wazima" wakakipoteza kile kijiji cha gambosh kichawi kuanzia siku hiyo gamboshi ikawa haionekani zaidi ya watu wenye vipawa vyao....
Na baada ya hapo wale wazee wakaifanya kuwa ni confidential kuwa wanaiemdeleza gambosh ila hakuna mtu ajuae unless uwe na wewe ni mfuata nyayo za wale wazee
Unaambiwa sasa ndio imefanywa makao makuu ya kichawi ila kisiri sana na hata ukifika gambosh kwenyewe ukiuliza watu watakwambia hakuna kiti kama hicho aidha wenyewe hawajui na baadhi yao wanajua sana ila wanaficha
Swali langu gambosh kuna nini zaidi ya uchawi?
Kwanini hitler alipatengeneza hivyo? Kuna rasilimari gani?
In maana wazee wa gambosh walifanya hivuo kuzilinda rasilimali zao au ?
Kama waliweza gambosh wameshindwa nini mwadui an geita?
Watu wa mtwara wafuate nyayo za gamhoshi?
Source rfa jana katika kipindi cha sintosahau