Pamoja na Hitler kusaidia kampuni za German na kuja na dawa kama Aspirin na Magari ya Volkswagen watu wanamkumbuka kwa mauaji tu. Lakini ni mtu huko German alikuwa anapedwa sana na kushabikiwa kila aendapo. Alikuwa mkatoliki mzuri sana na mpaka Papa Pius wa wakati ule alikuwa ana support serikali yake.
Yanayotokea Tanzania kwa upinzani na watu kupoteza maisha kwasababu tu ya kuwa na mawazo tofauti. Miaka kumi ijayo hatutakumbuka treni, Mabwawa wala barabara lakini mauaji binadamu hawasahau. Kama unapenda serikali na vitu wanavyofanya unatakiwa kupinga vitendo vibaya kwasababu vitafuta kabisa mazuri. Hata ukiangalia kwa wastaafu wetu watu hawakumbuki vitu wanakumbuka ukaribu na personality za watu zaidi
Hitler
“If you tell a big enough lie and tell it frequently enough, it will be believed.
He alone, who owns the youth, gains the future”