Hitler hakumbukwi kwa mazuri yake kwa Germany

Yatamkuta ya Burundi
Soma vizuri siasa za Adolf hitler uelewe ndio uje kuandika hitler alikuwa dictate na rais wetu mwanademocrasia. Alafu hitler alikuwa mzalendo aliepiganiani nchi yake isimezwe na wageni(waasian au semic), Wayahudi .
 
Hitler alifanya ujinga ndio maana TANGANYIKA ipo ipo tu. Wale jamaa wangeendelea kukaa hapa angalau tungekuwa twaelewa
 
Hitler alifanya ujinga ndio maana TANGANYIKA ipo ipo tu. Wale jamaa wangeendelea kukaa hapa angalau tungekuwa twaelewa
Tanganyika ilipokonya toka Ujerumani mwaka 1918 baada ya Ujerumani kushindwa vitani.

Sasa ujinga wake Hitler ambaye mwaka huo 1914-1918 hakuwa mtawala umeiathiri vipi Tanganyika?
 
Mbona nchi yake (Ujerumani) haimpi hii sifa uliyoandika hapa? au na wao (Wajerumani) wanatudanganya?
. mkuu mimi haya nimekuta wapi nimetoa taarifa za viongozi wa ujerumani wikipidia au wikipidia nao ni waongo.
 
. mkuu mimi haya nimekuta wapi nimetoa taarifa za viongozi wa ujerumani wikipidia au wikipidia nao ni waongo.
...🙄🙄🙄...? hao wanaomsifia sio viongozi wa Ujerumani ila ni viongozi wa vyama vyenye itikadi za kinazi (kifashisti).
 
Hitler na wanazi wenzake walikuwa ni akili kubwa ..
Achana kabisa na zile namba
Kuua wayahudi million 6 na kuanzisha vita vya pili vya dunia vilivyoua mamilioni ya raia kote duniani, kwako unaona ni akili kubwa?
 
Pamoja na Hitler kusaidia kampuni za German na kuja na dawa kama Aspirin na Magari ya Volkswagen watu wanamkumbuka kwa mauaji tu. Lakini ni mtu huko German alikuwa anapedwa sana na kushabikiwa kila aendapo. Alikuwa mkatoliki mzuri sana na mpaka Papa Pius wa wakati ule alikuwa ana support serikali yake.

Yanayotokea Tanzania kwa upinzani na watu kupoteza maisha kwasababu tu ya kuwa na mawazo tofauti. Mika kumi ijayo hatutakumbuka treni, Mbwawa wala barabara lakini mauaji binadamu hawasahau. Kama unapenda serikali na vitu wanavyofanya unatakiwa kupinga vitendo vibaya kwasababu vitafuta kabisa mazuri. Hata ukiangalia kwa wastaafu wetu watu hawakumbuki vitu wanakumbuka ukaribu na personality za watu zaidi

Hitler

If you tell a big enough lie and tell it frequently enough, it will be believed.

He alone, who owns the youth, gains the future”

"Alikuwa mkatoliki mzuri sana na mpaka Papa Pius wa wakati ule alikuwa ana support serikali yake."

Licha ya kuwaua wanadamu milioni sita kwa kuwatia katika gas chamber? Licha ya kuanzisha vita kuu ya pili kwa kuzishambulia nchi za jirani? Huyo eti anapendwa na Papa!!
 
Kuua wayahudi million 6 na kuanzisha vita vya pili vya dunia vilivyoua mamilioni ya raia kote duniani, kwako unaona ni akili kubwa?
Hatujazungumzia utu. Tumezungumzia akili na akili haijalishi unafanya jema au baya akili ni akili tu.
Ndio maana hata Osama bin Laden alikuwa na akili. Huwezi mchukua kilaza akaongoza ugaidi unaosumbua dunia kwa miaka zaidi ya 10 akafanikisha uovu huo.

Mtu akifanya kitu chema kwa mafanikio anakuwa na akili, kwa nini mtu anayefanya kitu kibaya kwa mafanikio yake maovu tuamini hana akili? Mwizi wa benki, hacker, airplane hijacker wote utadai hawana akili kisa wamefanya maovu? Sio kweli, wana akili na ndio maana wamewazidi wenye akili njema na kuweza tenda maovu yao.
 
"Alikuwa mkatoliki mzuri sana na mpaka Papa Pius wa wakati ule alikuwa ana support serikali yake."

Licha ya kuwaua wanadamu milioni sita kwa kuwatia katika gas chamber? Licha ya kuanzisha vita kuu ya pili kwa kuzishambulia nchi za jirani? Huyo eti anapendwa na Papa!!
Kwa hiyo Hitler alizaliwa anaua?
Na wapi unaweza toa rejea inayoonesha Hitler alipendwa na Papa.
 
Unajua hata hili kundi la "Antifa" linafata misingi ambayo inaendana na Wanazi..? Yani kitendo cha wayahudi kuuliwa ilikuwa ni hasifa ya Hitler baada ya kujiona wao ni bora kuliko watu wengine yani kuwa wabaguzi kwa kujiona wao wanathamani kuliko watu wengine(lakini simaanishi alikuwa sahihi kuwaua).

Kuna mambo Mengi mazuri alifanya kwaajili ya wajerumani mpaka Leo yanakumbukwa.. Isingekuwa Ujerumani kuhukumiwa kulipa baada ya kushindwa vita mpaka leo wangebaki kuwa super power kutokana na misingi ya kiuchumi aliyokuwa ameiweka Hitler!

Sasa usije kwenda kule ukamsema vibaya.. Bado wapo wengi wanaomuunga mkono!

Heshima ipi hiyo aliyonayo? Au kuua,kutesa na kudhulumu wayahudi?
 
Back
Top Bottom