Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

ashikaye mata..ko huku anakimbia ujue mavi yamembana,usione ukadhani.
sasa hv mitaani tuna div zero sasa waende wapi ?


Avumaye baharini papa kumbe na makardinali wapo, nilidhani Mpoto yuko alone kumbe sanaa hii hadi Bukavu. Umeskia kaingia pia komandoo kiplagati26, huyo anapiga karate mwambatano kwa kirumi...., kweli ndoa ndoano, uliona unafaidi kumbe chambo.
 
ama kweli mwaka huu watu watakoma mweeeh! sasa hapa ni CHAI CHUNGU ama manake ya leo kali
 
Last edited by a moderator:
Donn..define limbwata,types,application na kila kitu abt it..ili nijue nakulisha vipi..nisije dhurika mwenyew bure

mi najuaga ile kama aliyokula Chimbuvu ukinipa nakuwa nakupenda kuliko uhai, ila nataka tushirikiane kulinywa mimi na ww ili tupendane milele
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom