Hitimisho: Ukiacha Dar, Kwa Tanzania Ni Mwanza Pekee Ndio Inayofuatia Kwa Uzuri na Ubora Wa Maisha

Dj-kobo

JF-Expert Member
May 5, 2013
458
193
Wasalaam Sana wakuu
nimefanya tathimin ya Majiji yetu na sasa Ni Hitimisho kua Ukiacha Dar ambalo ni jiji Baba lao sasa Ni Mwanza inayofuatia kwa mambo mazuri ikiwamo namna ya Biashara zilivo , Maisha kwa Ujumla Mwanza ni Mazuri Sana lakini Pia upatikanaji wa Makuuta Mwanza iko poa zaidi ya Arusha Au Mbeya na ukiongeza na hiyo Mall ya karibu bilion 70 ndo ishazipoteza Mbeya na Arusha kwa mbali sana
 
Mwanza ooohhh Mwanza nitarudi Mwanza kula ugali na Sato wa Kuchoma tena sato mkubwa sana na mtamu
 
Hotel za Mwanza na Lodge zao ni Bora sana lakini pia usafi wa Mwanza nao unavutia, Beach za ziwa Victoria zina upepo Mwanana , Bar zao wahudumu wanajua kuhudumia ukiacha Bar za Arusha na Mbeya ambapo wao kazi kujibinua makalio tu bila sababu nasema tena hongereni Mwanza
 
Wasalaam Sana wakuu
nimefanya tathimin ya Majiji yetu na sasa Ni Hitimisho kua Ukiacha Dar ambalo ni jiji Baba lao sasa Ni Mwanza inayofuatia kwa mambo mazuri ikiwamo namna ya Biashara zilivo , Maisha kwa Ujumla Mwanza ni Mazuri Sana lakini Pia upatikanaji wa Makuuta Mwanza iko poa zaidi ya Arusha Au Mbeya na ukiongeza na hiyo Mall ya karibu bilion 70 ndo ishazipoteza Mbeya na Arusha kwa mbali sana

Mada za kibishi kibishi zisizo na refarii kama hizi ni kukosa kazi ya kufanya wakati leo ni j3, siku ambayo kila mmoja anatakiwa kuwa site
 
Tupo likizo mkuu ni mwendo wa kutema pumba tu. Teh teh teh
 
Wasalaam Sana wakuu
nimefanya tathimin ya Majiji yetu na sasa Ni Hitimisho kua Ukiacha Dar ambalo ni jiji Baba lao sasa Ni Mwanza inayofuatia kwa mambo mazuri ikiwamo namna ya Biashara zilivo , Maisha kwa Ujumla Mwanza ni Mazuri Sana lakini Pia upatikanaji wa Makuuta Mwanza iko poa zaidi ya Arusha Au Mbeya na ukiongeza na hiyo Mall ya karibu bilion 70 ndo ishazipoteza Mbeya na Arusha kwa mbali sana

Mmmmh, ngoja waje wenyewe!
 
Back
Top Bottom