Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,868
- 3,625
Good morning, guys!
Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini ulikuwa nae wala kwa lengo gani?
Katika kizazi cha leo ukiondoa mapenzi au NGONO, katika mahusiano utagundua kwa asilimia kubwa ya WANAUME hawana jambo lingine la maana kuwafanya wawepo kwenye mahusiano.
Vile vile ukiondoa PESA, Utajiri katika mahusiano utagundua asilimia kubwa ya WANAWAKE hakuna jambo lingine wanalohitaji kwenye mahusiano.
👉Kizazi cha sasa bila pesa asilimia kubwa ya wanawake wataona haina haja ya wao kuwa katika mahusiano na bila sex wanaume wataona haina haja ya wao kuwepo katika mahusiano.
👉Wanawake wengi wanalalamika sana kwamba wanaume wanapenda sana sex akishakufunua mara mbili tatu basi ule upendo wa mwanzo unapungua.
👉Hivyo hivyo wanaume wanalalamika sana kwamba wanawake wanapenda sana pesa inamaana wakishazipata wakizitumia na zikiisha basi wanakuhama hakuna mapenzi ya mwanzo tena hutafuta mwenye pesa. Hii ndio hasara ya mahusiano.
Hatma yako ya mahusiano ni nini,?
Jiulize je, nitatumiwa mpaka lini, nitaolewa na nani kwa mtindo huu,?
kijana jiulize jee pesa zangu zitatumika mpaka lini, jee nina mpango gani wa kuwa na maendeleo,?
Je, ninahitaji familia na jee nitaitunza vipi kama pesa yangu inatumika kununua mwili wa mtu ili kukidhi haja ya muda mfupi?
Usiingie kwenye mahusiano bila malengo ndugu yangu, utakuta unapoteza muda kwa mtu ambaye siye. Kabla hujafikiria kuwa na mtu fulani yatathimini maisha yako. Fikiria unatakiwa kuwa mme au mke wa mtu, unatakiwa kuwa baba au mama wa familia.
Je, huyo uliye naye ndiye mwenza wako sahihi au unajiegesha tu ili maisha yasonge.?
Je, ndiye mzazi mwenzio? Je, ndiye mkeo au mmeo mtarajiwa.?
Usikae tu na mtu ili na wewe uonekane upo kwenye mahusiano, kaa na mtu kwa malengo. Epuka mahusiano ya kujiegesha, mahusiano ya kuiga, mahusiano ya kujionyesha yatakusababishia majuto.
Ni wakati wetu sote kubadili mtazamo, mahusiano yamekuwa fashion kila mtu analia na upande wake, wanaume walia wanawake wanapenda pesa japo sio wote ila asilimia kubwa pesa imekua kipaumbele katika mahusiano, na vile vile sex imekuwa kipaumbele katika mahusiano kwa wanaume..Tujifunze kuongeza thamani katika mahusiano.
Ikumbukwe mahusiano sio starehe tu, Bali ni kupeana mbinu za kimaisha na kujua nini mnataka kufanya katika umoja wenu.
Weka malengo kisha tafakari namna kuyafikia mafanikio. Usitumike kama ATM kwa mwanamke ambaye kwako ni kama kahaba ambae penzi lake ana kuuzia usipo kuwa na pesa humuoni atasema anaumwa.
Mwanamke, Usitumiwe kama SEX mashine kwa mwanaume ambaye amejawa na tamaa za ngono, kila ukimtembelea anataka ngono. Hata uende siku 3 mfululizo bado atataka kukuvua nguo.
Bora uwe SINGLE kwa mda mpaka umpate mwenye unafuu kuliko kujitafutia maumivu yasiyo ya lazima.
Muwe na siku njema.