Nahitaji Shamba la kukodi kwa ajili ya Kilimo cha Alizeti- Mpwapwa, Dodoma

Nahitaji Shamba la kukodi kwa ajili ya Kilimo cha Alizeti- Mpwapwa, Dodoma

Ugali Supu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
252
Reaction score
261
Habari Wakuu,

Natanguliza shukrani. Kwa sasa niko mkoani Dodoma na nimevutiwa na kilimo cha alizeti. Hivyo, naomba msaada wa kupata shamba la kukodi mkoani Dodoma, hasa maeneo ya Mpwapwa, au eneo lingine linalofaa kwa kilimo hicho.

Ninatafuta shamba lenye ukubwa wa takribani hekari 10 au zaidi.
Mwenye taarifa au anayefahamu shamba linalopatikana kwa ajili ya kukodi, naomba anisaidie kwa mawasiliano au taarifa zaidi.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Lipo Chamwino - Dodoma heka 5 lina rutaba nzuri, ila linauzwa Milion 18, linaweza kufaa kuwa viwanja badae maana lipo jirani na makazi ya watu na lilishapimwa kuwa viwanja.
 
Back
Top Bottom