shamba la kukodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugali Supu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shamba la kukodi kwa ajili ya Kilimo cha Alizeti- Mpwapwa, Dodoma

    Habari Wakuu, Natanguliza shukrani. Kwa sasa niko mkoani Dodoma na nimevutiwa na kilimo cha alizeti. Hivyo, naomba msaada wa kupata shamba la kukodi mkoani Dodoma, hasa maeneo ya Mpwapwa, au eneo lingine linalofaa kwa kilimo hicho. Ninatafuta shamba lenye ukubwa wa takribani hekari 10 au...
Back
Top Bottom