Salaam, nimeanzisha kampuni bado ni ndogo ila ningependa niwe nahifadhi rekodi kwa njia ya komputa means profoma invoice, tax invoice, receipt pamoja na delivery note. Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea yafuatayo:
Logo na heading letter ya kampuni
Profoma, invoice na receipt niwe na uwezo wa kufanya editing na kuprint kazi hii ifanyike kwa njia ya komputa
Uwezo wa kuzihifadhi kumbukumbu na kuziretrive nitakapo zihitaji
Iwe pia na uwezo wa kubadilisha serial no.
KAZI HII ITAFANYIKA KWA MALIPO
Naomba kama kuna yeyote yuko interest kufanya kazi hii ninaomba aniPM then tutaanza kuwasiliana