veta hadi mwezi wa 1 ndio tatizo naona kama atapoteza mda hadi ufike mwezi wa 1Mpeleke VETA mkuu!
Mkuu mm ni fundi umeme wa magari kutokana na changamoto katika ufundi wa magari kwa sasa hivi hasa kwa hii technologia naushauri wa tofauti kidogo .habari wa jamvi nina mdogo wangu ana miaka 22 anahitaji kujifunza ufundi wa magari je ni wapi anaweza akaenda kujifunza hiyo fani ya ufundi.
elimu yake ni kidato cha nne yupo tayari kujifunza katika mazingira ya aina zote.
mkuu ni shule gani zinatoa hayo masomo nimpelekeMkuu mm ni fundi umeme wa magari kutokana na changamoto katika ufundi wa magari kwa sasa hivi hasa kwa hii technologia naushauri wa tofauti kidogo .
Kwanza usijisumbue kumpeleka veta.
Kama unauwezo kwa mimi bunafsi nakushauri mpeleke shule aisee ndio atafaidi sana matunda ya ufundi na corse za kujifunza ni za computer ili aweze kuja kucheza vizuri na mashine za gari kidigital zaidi kama kuprogram funguo,kufanya diagnosis ikiwezekana aje hata kututengenezea softwere ya kudiagnos magari.
Ndo wapi apo mkuu ,tupe contacts bcMlete hapa chuoni Kashasha VTC tunapokea vijana tarehe 12 July. Kuanza level one. Atakuwa fundi mjuzi.
Piga 0763836983Ndo wapi apo mkuu ,tupe contacts bc