Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

Kuna uzi uliwekwa Jana Member mpya.. Simkumbuki jina wala heading ya ule uzi lakini ulikuwa na picha za huyo Jamaa wa Nape.. Anayekumbuka ule uzi anisaidie kuupata
 
Mpaka unaeza ogopa kucomment. Utadhani kuna ushindani flani apa.
 
Nakupa kama zawadi
What did I told you, egnore the creature, he/she does not deserve your comment. Nilikuwa na watu UK July they mock him/her like hell. NY ndo sisemi. H/she is sick. Hajui wanaoandika wengine ni CCM damu na ni watoto wa mabalozi na wengine ni walengwa wa hii mipango. He is sick.
 
Wote wenye kujitambua wanalipia siyo mshana jr. tu ila time will tell. Tuna mtu humu bongo nikacomment kuhusu Masaki na uchaguzi wa 2015 akaja na majibu kuwa mimi naishi Manzese. Well those are the llikes of people you ignore, thanks God muda wa kukaa Bongo uliisha nimesepa. Tuwaombee wanaolengwa na kila aina ya dhahama ili waepushwe na shari hizo, Amen.
 
picha ndio kwanza inaanza ngoja nikachimbe dawa fasta nije ........usikalie siti yangu
 
Thanks lovely sissy
 
Picha la leo kali jina la picha Bongo, Sterling Wasio julikana wanapiga ohh!!
 
Tulia usitake kuvuruga game tuna mtaka mtumaji , mpangaji na wakamilishaji sio wakamilishaji tu...
 
HATA kama picha halisi tutaletewa bado waliochorwa kwenye hiyo picha ndo wenye nguvu so sidhani kama kuna impact sana maana watipoteza hiyo picha na.kuipuuzia
 
Kwa utawala huu bora uendelee kutokua na Elimu mie nakwambia ni rahisi kua gaidi.. maana mambo mengi hayupo sawa na haki za watu zinakandizwa nje nje na siku hizi kuna kamsemo tuwe wazalendo wakati mnakaangwa kwa mafuta yenu!!ni bora uwe huna elimu uishi Kama poyoyo kulikua akili ya kung’amua kinachoendelea! Angalia Manji wanajitahidi kila njia kumfirisi mungu anawaumbua! Je wewe mkakasi itakuaje!?
 
Kuna namba hii
0754125125.
Mala nyingi naikuta kwenye simu yangu ikichepushwa ipokee simu zangu bila mimi kuchepusha(namanisha call divet).
Mala nyingi imenitokea, ilianza baada yaku... Mkulu kwenye uzi mmoja hapa jf. Kuwa makini mathinker wenzangu.
 
Picha la Kibongo hata kudangaya hawawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…