Na hii hali inanitesa kwakwelimshana jr imefikia hatua natamani nisingekua na elimu yoyote ya ung'amuzi wa mambo labda ningekua na amani maishani. Kujua mambo (tena ukajua yale wasiyotaka ujue) kunakuweka katika wakati mgumu sana. Unaweka maisha yako hatarini; maisha yanakosa ladha, yanakosa uhuru...unaandamwa na kihoro na hofu kubwa. Mshana unalipia gharama ya "kujua".
Yupi huyo
mkuu acha yani mpaka selasini kaongea na tena kwa hisia kali kweli mwisho sasa watu watashindwa kuvumiliaUkisikia Selasini mbunge wa Rombo alivyoongea kwa uchungu ni dhahiri vita ya kikanda na kikabila itaanza soon, najua sio vita ya kutumia silaha na kutoana damu, vita ya chuki za rohoni kati ya yule na yule
Hapana kabisa huyo sio wa huko kamwe
ipo vidio kabisaNatafuta post ya alichoongea, je huku JF ipo?
Muda utafika kila jambo litakua wazi.
natamani kuchangia ya moyoni lakini naogopa ngoja niwe mpenzi mtazamaji ingawa najua huu uzi utafutwa sasa hivi na walamba miguu wa mungu mtu!
Ukisikia Selasini mbunge wa Rombo alivyoongea kwa uchungu ni dhahiri vita ya kikanda na kikabila itaanza soon, najua sio vita ya kutumia silaha na kutoana damu, vita ya chuki za rohoni kati ya yule na yule
Huyu jamaa kuna conspiracy theory kuwa ni mtu wa system(pandikizi). Ila muda utaongea vizuri, niishie hapa!
Huyu jamaa kuna conspiracy theory kuwa ni mtu wa system(pandikizi). Ila muda utaongea vizuri, niishie hapa!
Na hii hali inanitesa kwakweli
Haina shida? Tukutane maili moja kesho mchanaMshana jr nauza simu Samsung s3 150,000 / = tu nisaidie kupata mteja View attachment 603247
...teh hee hee.mshana jr n inter pol ,, ww n askali nakujua vizur nakaa na ww mtaa mmoja n rafiki mkubwa wa dingi yangu