History ya mtu huandikwa na watu wengine, kile tunachoandika sisi kuhusu maisha yetu kinaitwa memory (kumbukumbu). Je watu wameandika na kuandika history Gani kukuhusu wewe iwe mioyoni mwao au mahali popote hadi sasa?
Shukurani mkuu nipo makini Sana hapo matendo yangu kwa watu na kwa neema yake mwenyezi Mungu naamini itakua njema na sio Mimi tu nijitahidi Bali hata wewe na wote tujitahidi katika hilo