Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
te te te te teTumaini nani anakudharau tena?
nani anayesema madrasa ni mbaya nani huyo tumfunde?
hawaoni kuwa madrasa inasaidia watu kuwa na elimu, ni mwanzo wa elimu, shule za kiislamu zinafanya vizuri Tanzania kwa sababu ya madrasa, hivi shule gani ya kiislamu mwaka jana iliongoza kitaifa, waambie mwe!
waeleze kuwa maendeleo ya sayansi na teknolojia yalianzia madrasat,
Isaac Newton, Einstein, Faraday, Ohm, Galileo wote walipitia madrasa.
Ukitaka wakuelewe achana na historia, weka kitu kinachoishi sasa kinachothibitisha madrasa ni nzuri, bila hivyo hawatakuelewa mkuu wangu ebu wape.
waaambie JK alipitia madrasa Bagamoyo, waambie Yahaya na Makamba walihudhuria siku zote.
waambie waarabu vitabu vyao vimendikwa kiarabu,shule zao wanasoma kiarabu mpaka vitabu vya advanced technonology vimeandikwa kiarabu, wakisoma madrasa wanatumia ligha hiyo hiyo mpaka vyuo vikuu, na kwa namna hii wanakuwa wazuri.
waambie kuwa madrasa za Tanzania wanatumia kiswahili sio kiarabu, hivyo wanaelewa tangu kila kitu!
waambie!