Mungu yumo moyoni mwako haishi Jupiter.mkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.
Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.
Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?
Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?
Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?
Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.
Asikiaye na Afahamu.
Utakuwa unamatatizo wewe,au baadhi ya imani zimekuathiri,hujui kila kinachokuzunguka kilitokana na mwanasayansimkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.
Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.
Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?
Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?
Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?
Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.
Asikiaye na Afahamu.
Sio ndio nyie mlinyonga watu kisa wamesema dunia duara na nyie mkasema dunia iko kama meza,dini na sayansi vi vitu viwili tofautimkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.
Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.
Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?
Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?
Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?
Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.
Asikiaye na Afahamu.
kila mtu na kipaumbele chake na akili yake
nani Amesema Mungu Anaishi Kwenye Jupiter?Mungu yumo moyoni mwako haishi Jupiter.
mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.Utakuwa unamatatizo wewe,au baadhi ya imani zimekuathiri,hujui kila kinachokuzunguka kilitokana na mwanasayansi
NA AFRIKA IKIWEMONi mafanikio makubwa kwa Dunia
Kw dunia unamaanisha na Tanzania au kwa waoo!!??? We plan namna ya kutengeneza toothpick tu sio useme mafanikio ya dunia wkt nasa vichw vinawak moto
Acha ubishi na acha kuchanganya dini na sayansi, na nani amekuambia wanasayansi hawaamini mungu, wapo ambao wanaamini na wapo ambao hawaamini, swala si wanasayansi kuamini Bali sayansi yenyewe ndo inahitaji kitu kuwa proved na hiko kitu kiwe na uwezo wa Ku be disapproved na kutokana na observations na tafiti tofauti tofauti ndo maana unaona wenzako hawachoki kufanya tafiti. Kama watu wote wangekuwa na mawazo kama yako hata hii internet tusingetumia.mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.
Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.
Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.
Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.
Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?
Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.
ivi watu wa sampuli hii bado wako bongo eeeeh dah i am embarrassed to be tanzanianmkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.
Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.
Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?
Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?
Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?
Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.
Asikiaye na Afahamu.
Inawezekana uko sahihi lakini hapa si mahala pake mkuu.hata Mijinga akitoa Maoni yake Basi yaheshimiwe Ndugu Zanguni.
Lakini mjue kwamba ikiwa mimi ni Mjinga Katika kusema ukweli basi Mimi ni mweruvu kuliko wote.
Maana uaribifu utukuzwa kuliko kuliko uerevu asomae na Afaham.
Nauli ya kwenda Mwanza inakusumbua io ya kwenda Jupitee je?Na watuambie tunaweza kwenda kuishi huko maana maisha ya tz kila kitu tabu tu
Wamarekani ni waongo sana.. Na si ajabu hata huko Jupiter hawajaenda ni kutafuta misifa tu..
Acha mihemko ya dini wewe, Yesu mwenyewe huna uhakika kama kamuona mungumimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.
Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.
Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.
Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.
Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?
Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.
hata Mijinga akitoa Maoni yake Basi yaheshimiwe Ndugu Zanguni.