Buldoza
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 2,307
- 987
Swali ni Je ingekua mskiti ndio unatakiwa ugeuzwe kanisa ili watu wapate mahali pa kuabudu Waislam wangekubali?
Inaonekana wamenunua kwa bei mbaya gofu la lililokuwa kanisa ili wapate sehemu ya kufundishiana ugaidi. Sijaona lolote la ajabu. Kanisa limefungwa toka mwaka jana, jamaa wamenunua gofu na kulikarabati na kuligeuza jumba la majini. So what is a news there?