Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque

Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque

Status
Not open for further replies.

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,819
By Morgan Lee , Christian Post Reporter
June 30, 2014|3:49 pm

A Catholic church in St. Paul, Minnesota, that closed last year has reopened its doors as a mosque.
The 127-year-old Church of St. John closed in 2013 when it merged with another church due to declining membership. Last Friday the building reopened as Darul-Uloom Islamic Center.

"There are a lot of East Africans in the area, and we want to give them a place to worship, a place to be educated, a community space," center spokesman Feisal M. Elmi told The Associated Press.

According to a Pioneer Press story detailing the church's closure last year, "St. John once had 1,400 members. It now has 152 families, or about 400 members, [the Rev. George Welzbacher, 86] said. "The elderly Welzbacher said last year that logistically, the end of St. John's was inevitable.

"The number of priests active ... is limited," said Welzbacher. "Some of the big parishes have thousands of families and need that manpower." Former church member Charles Lake described feeling "sick" when he heard the news that his former church, empty since last summer, was being sold, but noted that he was not relieved that another religious community would be able to use it.
"There's clearly a need in the neighborhood to acknowledge a significantly Muslim population that's been living here. I look forward to collaborating with them on matters of mutual concern. They're our neighbors," he said.

Thousands of Somalis live in Minnesota and St. Paul, the highest concentration in the United States.

Earlier this year, the first Somali-American woman joined the St. Paul Police Department, amidst controversy over the department's decision to allow her wear a police-issued hijab.

In April, The Christian Post also reported that six crosses were being removed from the Holy Trinity Catholic Church in Syracuse, New York, as part of a reconstruction effort to convert the building into a mosque. The former church was once given landmark status because it was built by German immigrants over a century ago.

The Syracuse Historic Preservation Board voted to give the North Side Learning Center, an organization largely comprised of Muslims, permission to remove the crosses.
Yusuf Soule, volunteer executive director with the North Side Learning Center, told CP in a previous interview that their intention is to turn the former church into a "masjid" or mosque.

"As it is going to become a masjid, crosses are not an appropriate representation of the religion of Islam," said Soule.

Source: Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque
 
Hizi story tu kutoka kwenye vijiblog flani hivi vya kizushi ......kuna kijiblog kilikuja na uzushi majuzi eti kaldinali wa Kanisa Katoliki kasema Yesu hatorudi ........yaani hii dini ya Mwamedi hii.......
 
Swali ni Je ingekua mskiti ndio unatakiwa ugeuzwe kanisa ili watu wapate mahali pa kuabudu Waislam wangekubali?
 
Wanasemaga uislam unaenea kwa upanga sasa huko kuongezeka kila siku waislam europe nani anawashikia upanga au mimi ndo niko nyuma sina habari jaman?
 
Swali ni Je ingekua mskiti ndio unatakiwa ugeuzwe kanisa ili watu wapate mahali pa kuabudu Waislam wangekubali?

Haijatokea na ndiyo maana hatuwezi kujuwa.

Naona cha muhimu hapa ni kusoma sababu za kwanini ikawa hivi. Jee, umezisoma sababu?
 
Si ajabu, wazungu Mungu kawajalia akili, wametengeneza mashine zinawatumikia na sasa wanaona hakuna umuhimu wa Mungu. Ni ukweli ulaya wazungu wengi wapagani.

Lakini pia nchi nyingi za Kiislam watu wengi si waislam baada ya kuona Quran inahubiri chuki na vitisho vya jehanam kila msitari. Pia kuwadanganya Kuwa JUA linazama kwenye tope, kwenye nchi za kiislam watu wanasali kwa kuogopa vitisho vya kuuawa, maana uislam unamlazimisha kila mtu aende paradiso.

Soma hii pia Mosque–Cathedral of Córdoba - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mbona mleta maada kapost tu halafu kauchuna sijaona kufurahi kwa kwi kwi kwi ,teh teh teh au hahahahaaa

Mada inajieleza yenyewe na hakuna mzaha hapa, haya mambo yana mafundisho makubwa kabisa, waambie wasome yawaingie.

Halafu nakuomba wakumbushe wafate link wahakikishe source na website iliyoleta habari hizi.

Wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii.
 
Swali ni Je ingekua mskiti ndio unatakiwa ugeuzwe kanisa ili watu wapate mahali pa kuabudu Waislam wangekubali?

Tatizo la kwanza ni kuwa kanisa lilikosa waumini yaani watu walikuwa hawaelewi mara yesu mungu mara mwana wa mungu mara mungu mkuu mara mungu kapigwa na israel wakaona watimke ndo wenye dini ya kweli wakautwaa
 
Acha udini MTAZAMO huo ni ukweli hata uingereza nasikia kuna baadhi ya makanisa yanafungwa na kugeuzwa kuwa miskit.
Hizi story tu kutoka kwenye vijiblog flani hivi vya kizushi ......kuna kijiblog kilikuja na uzushi majuzi eti kaldinali wa Kanisa Katoliki kasema Yesu hatorudi ........yaani hii dini ya Mwamedi hii.......
 
Last edited by a moderator:
Haijatokea na ndiyo maana hatuwezi kujuwa.

Naona cha muhimu hapa ni kusoma sababu za kwanini ikawa hivi. Jee, umezisoma sababu?

link Kila mtu anafungua wanaandika chochote hayo ni uzushi Waislamu ni waandishi wazuri wa udaku ukitaka kujua ni uzushi walishaandika papa aliejiudhuru ameslimishwa Waislamu ni shida sana
 
Si ajabu, wazungu Mungu kawajalia akili, wametengeneza mashine zinawatumikia na sasa wanaona hakuna umuhimu wa Mungu. Ni ukweli ulaya wazungu wengi wapagani.

Lakini pia nchi nyingi za Kiislam watu wengi si waislam baada ya kuona Quran inahubiri chuki na vitisho vya jehanam kila msitari. Pia kuwadanganya Kuwa JUA linazama kwenye tope, kwenye nchi za kiislam watu wanasali kwa kuogopa vitisho vya kuuawa, maana uislam unamlazimisha kila mtu aende paradiso.

Soma hii pia Mosqueâ€"Cathedral of Córdoba - Wikipedia, the free encyclopedia

Hiyo link uliyoweka huo msikiti ulitekwa kwenye crusade, miaka mia kadhaa iliyopita. Soma vizuri uelewe.

Hapa hatuongelei vita wala crusade kama ni sababu, sababu umeziona kwenye post #1 ?
 
Wanasemaga uislam unaenea kwa upanga sasa huko kuongezeka kila siku waislam europe nani anawashikia upanga au mimi ndo niko nyuma sina habari jaman?

Wanahamia uislam labda hawajui hizi swaga za Mudy

Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Sura 9:5
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.

Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
 
Sudani wakristo wamekatazwa kujenga makanisa.
2 iraq ukienda kanisani unalipa ushuru.
3.Usa waislam wanasaidiwa mahala pa kusali.
.......
4.waarabu wanasimama majukwaani kuitukana USA ila kesho yake anahangaikia Visa ya kwenda USA.
Kiukwel ndugu zetu wanahitaji kujikomboa wao kwanza.
Labda kwa kuwa bado wapo 1450 after Mohamed.S.A
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom