Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque

Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque

Status
Not open for further replies.
Acha udini MTAZAMO huo ni ukweli hata uingereza nasikia kuna baadhi ya makanisa yanafungwa na kugeuzwa kuwa miskit.

toa mifano hai hizo ni story tu ulaya wengi hawataki kusikia kitu Mungu si kanisani wala misikiti msisemee mbali anzeni na kusema hapa bongo wengi hawaijui hiyo ulaya
 
Last edited by a moderator:
Hizi story tu kutoka kwenye vijiblog flani hivi vya kizushi ......kuna kijiblog kilikuja na uzushi majuzi eti kaldinali wa Kanisa Katoliki kasema Yesu hatorudi ........yaani hii dini ya Mwamedi hii.......

Endeleeeni kumsubiri tu atarudi huko alikoondokea sio huku“hivi hua hamuelewi”
 
Hiyo link uliyoweka huo msikiti ulitekwa kwenye crusade, miaka mia kadhaa iliyopita. Soma vizuri uelewe.

Hapa hatuongelei vita wala crusade kama ni sababu, sababu umeziona kwenye post #1 ?

Ndio maana wanabadirishana kijanja baada ya kuuchukua kwa crusade

Kwani wewe Faizafoxy ukienda Afghanistan ukaacha kwenda kuswali watakuacha hai?
 
Haijatokea na ndiyo maana hatuwezi kujuwa.

Naona cha muhimu hapa ni kusoma sababu za kwanini ikawa hivi. Jee, umezisoma sababu?
Haijalishi,kupungua kwa waumini hata miskitini linatokea pia,katika eneo fulani unaweza kukuta kuna miskiti waumini wanaoswali ni wachache sana ukilinganisha na wakristo wanaohudhiria makanisani.
Kikubwa hapa nikuangalia je kuwapa hao waislam kanisa watumie kama mskiti kuna tija?itakua imepunguza uhaba wa nyumba ya ibada kwa waislam wa eneo hilo?
Je hao wakristo wachache wa eneo hilo watakua hawaja athirika kwa maamuzi hayo?
Kama yote yamezingatiwa hakuna tatizo kabisa.
My take,
Ni kuwafukuza na kuchoma nyumba za ibada za waumini wa dhehebu fulani kwa shinikizo tu la kutaka waunge mkono imani yako,mfano hai kikundi cha kiiislam cha ISIS katika mji wa Mosoud nchini Iraq.
 
link Kila mtu anafungua wanaandika chochote hayo ni uzushi Waislamu ni waandishi wazuri wa udaku ukitaka kujua ni uzushi walishaandika papa aliejiudhuru ameslimishwa Waislamu ni shida sana

Unaweza ku google ukajihakikishia. Uislam hauna haja ya "udaku" kwenye hili, usiukimbie ukweli, utakusuta!

Jionee:

About 15,400,000 results (0,52 seconds)

Search Results

    1. Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque. A Catholic church in St. Paul, Minnesota, that closed last year has reopened its doors as a mosque. The 127-year-old Church of St. John closed in 2013 when it merged with another church due to declining membership.
    2. Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque

      www.christianpost.com/.../historic-127-year-old-catholic-church-is-now-...

    Feedback

  1. Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque

    www.christianpost.com/.../historic-127-year-old-catholic-church-is-now-...
    Jun 30, 2014 - A Catholic church in St. Paul, Minnesota, that closed last year has reopened its doors as a mosque. The 127-year-old Church of St. John closed ...
  2. Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque ...

    thechristians.com/?q.../historic-127-year-old-catholic-church-now-mosq...
    Jul 1, 2014 - A Catholic church in St. Paul, Minnesota, that closed last year has reopened its doors as a mosque. The 127-year-old Church of St. John closed ...
  3. Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque...(Jesus ...

    www.godlikeproductions.com/forum1/message2583978/pg1
    Jul 1, 2014 - 14 posts - ‎1 author
    A Catholic church in St. Paul, Minnesota, that closed last year has reopened its doors as a mosque. The 127-year-old Church of St. John closed ...Will someone tell me how a single person can support the Catholic ...
    31 Jul 2014

    The Catholic Church is your last hope - Page 14 - Godlike Productions
    10 Nov 2013

    Catholic Churches Vs. Protestant Churches - Page 2
    22 Jul 2012

    The Catholic Church Created Islam - Godlike Productions
    10 Mar 2012

    More results from www.godlikeproductions.com
  4. Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque ...

    www.watchmanscry.com › ... › Fellowship Hall › Current Events
    Jul 1, 2014 - 1 post - ‎1 author
    The 127-year-old Church of St. John closed in 2013 when it merged with another church due to declining membership. Last Friday the building ...
  5. A 127 year old Catholic Church is now a... - Debi Schiebel ...

    https://www.prod.facebook.com/deborah.../posts/1437929286473754
    Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque. A Catholic church in St. Paul that closed last year has reopened its doors as a mosque.
  6. 127-Year-Old Catholic Church In Minnesota Is Now A Mosque

    themostimportantnews.com/.../127-year-old-catholic-church-in-minnesot...
    Jul 1, 2014 - One of the oldest Catholic churches in St. Paul had to close down because of a ... 127-Year-Old Catholic Church In Minnesota Is Now A Mosque .... amazing; anniefromindianie on This is the worst Ebola outbreak in history.
  7. Gates of Vienna News Feed 7/1/2014 | Gates of Vienna

    gatesofvienna.net/2014/07/gates-of-vienna-news-feed-712014/
    Jul 1, 2014 - Historic 127-Year-Old Catholic Church is Now a Mosque. » Knapp Street ... Greece: Council of State Allows for Mosque in Athens. » Grillo Says ...
  8. Global Threat (July 31) - The-Christians-Forum.com

    the-christians-forum.com › ... › Endtime Chat
    Jul 1, 2014 - 10 posts
    US Military Dusts Off Decades-Old 'Readiness' Plans for Russia ..... Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque A Catholic church ...
  9. The Catholic Church | www.kkyx.com

    www.kkyx.com › News › World
    The Catholic Church, also known as the Roman Catholic Church, is the world's ... Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque · Dutch Catholic ...
  10. Islamic free Australia | Facebook

    id-id.fb.me/pages/Islamic.../212323352308871?...Translate this page
    Jul 13, 2014 - Islamic free Australia berbagi tautan via Stop the Mosque in Bendigo. 3 jam yang .... Historic 127-Year-Old Catholic Church Is Now a Mosque.
 
kwahiyo wakaamia kwa mtume anaye ruhusu kuoa vitoto,kuuana na kula kitimoto kwa siri siri hata mimi naona
Tatizo la kwanza ni
kuwa kanisa lilikosa waumini yaani watu walikuwa hawaelewi mara yesu
mungu mara mwana wa mungu mara mungu mkuu mara mungu kapigwa na israel
wakaona watimke ndo wenye dini ya kweli wakautwaa
 
Haijalishi,kupungua kwa waumini hata miskitini linatokea pia,katika eneo fulani unaweza kukuta kuna miskiti waumini wanaoswali ni wachache sana ukilinganisha na wakristo wanaohudhiria makanisani.
Kikubwa hapa nikuangalia je kuwapa hao waislam kanisa watumie kama mskiti kuna tija?itakua imepunguza uhaba wa nyumba ya ibada kwa waislam wa eneo hilo?
Je hao wakristo wachache wa eneo hilo watakua hawaja athirika kwa maamuzi hayo?
Kama yote yamezingatiwa hakuna tatizo kabisa.
My take,
Ni kuwafukuza na kuchoma nyumba za ibada za waumini wa dhehebu fulani kwa shinikizo tu la kutaka waunge mkono imani yako,mfano hai kikundi cha kiiislam cha ISIS katika mji wa Mosoud nchini Iraq.

Kumbuka si hilo tu, hilo ni mojawapo. Hayo ya ISIS mtajuwa nyinyi na waliolianzisha, hapa kuna habari hiyo iliyopo kwenye post #1 .

Kwanini ukweli ukuume mpaka uje na povu namna hii?
 
Mpinga Krsitu anafurahi kinyama kwa vijarida vya mtaani

Kama unamaana Kristu ni Yesu Kristo, alyhi salaam, mwana wa Mariam, basi kuwa na uhakika na usiwe na shaka ndani ya moyo wako, hakuna Muislam ampingae tena Uislam na Waislam wanamtukuza sana yeye pamoja na Bibi Mariam mama'ke Yesu aleyhi Salaam. Jee, unajuwa kuwa Bibi Mariam ana sura nzima kwenye Qur'ana ambayo ni dedicated kwa jina lake. Hayo huyakuti hata kwenye biblia, sasa vipi tumpinge hapo?

Ungeliujuwa Uislam usingesema hayo. Ona: 19. SURAT MARYAM
 
Kumbuka si hilo tu, hilo ni mojawapo. Hayo ya ISIS mtajuwa nyinyi na waliolianzisha, hapa kuna habari hiyo iliyopo kwenye post #1 .

Kwanini ukweli ukuume mpaka uje na povu namna hii?
Mbona unamatatizo sana dada angu?
Ulishawahi kuugua uchizi?
Umeni quote,na mi nikaona si vibaya ku reply,mara useme oohh povu linanitoka!!! sasa ulitakaje?nisikujibu?na kama ndio hivyo,ulini quote ili iweje?
Pili leo kikundi cha kiislam cha ISIS unakikana hukijui?Inamaana umekikana?Inamaana umeikana pia Imani yako,na umemkana pia Mtume wako Mohamad!!??
Mbona umeweka ushabiki mbele bila kujitambua?
 
Ndio maana wanabadirishana kijanja baada ya kuuchukua kwa crusade

Kwani wewe Faizafoxy ukienda Afghanistan ukaacha kwenda kuswali watakuacha hai?

Andika Kiswahili vizuri usichafue lugha yetu tamu, hata ndani ya biblia ya Kiswahili hukuti makosa hayo ya Kiswahili. Nakushauri isome biblia ya Kiswahili kwa kuanza mwanazo mpaka mwisho itakusaidia sana kuweka sawa kiswahili chako.

Na kwanini niache kuswali? tofauti kubwa sana kati ya Muislam na asiye Muislam ni sala tano za kila siku na hizo hata nikiumwa nnazisali kitandani. Hazina ugumu, ni dakika chache sana kwa siku, siioni sababu ya kuziacha, kwa hiyo mfano wako huo ni batili.
 
Biblia inasema Njia iendayo mbinguni ni nyembamba, wazungu wengi wameacha kusali maana wanaona hakuna aja ya Mungu
So FaizaFoxy usiwe na wasiwasi Yesu siku ya mwisho atatoa hukumu sahihi
 
Andika Kiswahili vizuri usichafue lugha yetu tamu, hata ndani ya biblia ya Kiswahili hukuti makosa hayo ya Kiswahili. Nakushauri isome biblia ya Kiswahili kwa kuanza mwanazo mpaka mwisho itakusaidia sana kuweka sawa kiswahili chako.

Na kwanini niache kuswali? tofauti kubwa sana kati ya Muislam na asiye Muislam ni sala tano za kila siku na hizo hata nikiumwa nnazisali kitandani. Hazina ugumu, ni dakika chache sana kwa siku, siioni sababu ya kuziacha, kwa hiyo mfano wako huo ni batili.

Najua lugha ya kabila langu kuliko kiswahili.

Sasa kama mnaswali sara tano mbona output yake sasa kupitia ugaidi mnaua watu 1500 kwa mwezi dunia nzima ?, mbona hatuoni matunda mema? Tunaona mashekhe wanakutwa na mabomu Arusha? ebu tujuze kunani hapo Faizfoxy?
 
Ninyi mwachukua ya zamani wakati wenzenu wanajenga mapya na ya kisasa...nonsense!!!
 
Wameuza makanisa mengi kwani badala ya kuwa pagala lisilokuwa na kitu wameamua kuyapiga mnada na UK pia hata Tesco wamenunua na lingine nimeliona Bristol wanauza matairi na badoooooo
 
We Mwarabu nanii Faiza FOX ona huyu mtu anadanganya watu heby comment
Wanahamia uislam labda hawajui hizi swaga za Mudy

Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Sura 9:5
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.

Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
 
Wanahamia uislam labda hawajui hizi swaga za Mudy

Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Naam umenena vyama kabisa, nakuomab anzia aya ya 190 uende mpaka 193 ili kuipata "context" usiiepuke "context" kwaa kuwa unataka kupotisha, sidhani kama Mkrisro wa kweli anakuwa mptoshaji na muongo., nakuwekea hapa ili uyaelewe hayo mafundisho, halafu niambie ubaya wake nini?

190. Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui. ***

191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri. ***

192. Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. ***

193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu. ***

Source: 2 Sura Al Baqara

Wanasemaga uislam unaenea kwa upanga sasa huko kuongezeka kila siku waislam europe nani anawashikia upanga au mimi ndo niko nyuma sina habari jaman?

Kuongezeka kwa waislamu Ulaya ni matokeo ya wahamiaji wanaotoka Middle-East na West-Africa
 
Najua lugha ya kabila langu kuliko kiswahili.

Sasa kama mnaswali sara tano mbona output yake sasa kupitia ugaidi mnaua watu 1500 kwa mwezi dunia nzima ?, mbona hatuoni matunda mema? Tunaona mashekhe wanakutwa na mabomu Arusha? ebu tujuze kunani hapo Faizfoxy?

Wanaoua watu 1500 kwa siku huwaoni?

Jee, imekuuma kuona kuwa nyumba ya Mwenyeezi Mungu sasa imepata watu wa kuabudu ndani yake na walioijenga wameitekeleza?

Endelea kusoma biblia mwanzo mpaka mwisho na si zile aya ulizokaririshwa tu utakielewa tu Kiswahili kwani Biblia ya Kiswahili wamejitahidi sana kuandika Kiswahili vizuri.
 
Mimi nakuchukia sana Faizafoxy kwa sababu ya udini wako,thread hii ni muendelezo wako wa udini,kuona kwamba dini yako ni bora kuliko dini nyingine na ndio motive ya kuleta hii thread yako.What is the big deal ya kanisa kuwa msikiti?Makanisa mengi tu UK yamebadilshwa kuwa nyumba za kawaida na hakuna mtu anashangaa.

Kama unaona dini yako ni bora kuliko dini nyingi waacha hao wengine waende motoni wewe na waislamu wanzako nendani peponi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom