Hivi hsc ndie wa kipindi cha mkele?Kuna afisa mmoja aliniambia kila awamu ya urais huwa wanapatikana matajiri wapya. Sasa nasubiri baada ya miaka 10 ya Magufuli, nione nani ataibuka.
Kati ya hao nawafahamu kwa uhakika wa 5Habari wanajamvi
Kwa kipindi cha mda mrefu matajiri wa Tanzania wamekuwa wasiri sana kiasi kwamba ni vigumu kufahamu historia zao yani
1.chimbuko lao haswa
2.waliupataje utajiri wao
3.hadi sasa wako wapi na shughuli zao kubwa.
Ni vyema kufahamu historia za Watu kama
1.ssb
2.mi
3.mr.yanga
4.rostam
5.p.ngowi
6.r.mengi
Hii itasaidia vijana wapambanaji kutokukata tamaa kirahisi.
Kwa wanaofahamu japo kwa ufupi historia za hawa wabongo wenzetu wenye ukwasi wa hali ya juu na atufahamishe.
Natanguliza shukran
Tusidanganyane watu wanajituma kufa na kupona angalia muda wao wanaoamka asubuhi.Wengi wameupata kimagumashi ila hawezi kukwambia.
Historia iko wazi mkuu..tabia zao hazifanani na za mleta mada..pamoja na wewe na ndio maana una dhana ya kupondwa...ssb alianzia na mgahawa na kushona viatu.... mengi ni kati ya watu wa kwanza wa nchi hii kupata CPA..mr Yanga ni uridhi wa babaye.....Hili ndio tatizo la wabongo; mwenzio ameomba history, wewe una ponda. Ebu funguka hao watano unaowajua wewe.
Shkamoo Baba mkubwaTusidanganyane watu wanajituma kufa na kupona angalia muda wao wanaoamka asubuhi.
Mzee Mengi miaka ya sabini mwanzoni tuko nae uingereza anamiliki benz.
Mie babuShkamoo Baba mkubwa
Mkuu ushawahi tukanwa??Wewe ndio unatakiwa uwe msaada hapa kati ya hao watu aliowataja mtoa mada, historia zao unazifahamu? Sio kuongea lugha ya matusi hapa, kama unaongea na watoto wako.
Asante kwa tusi lako LA kisomii ila lengo langu ni kutaka kufahamu history yao na kujifunza kitu.Kwa nn tujifunze kupitia kina warren buffet wakati kina ssb wapo kwenye mazingira yeti? Hebu acha uvivu wa kufikiri ndorobo we.Kati ya hao nawafahamu kwa uhakika wa 5
Hufanya kazi kufa na kupona mpaka sasa hata muda huu wapo kwenye kazi wakati wewe waandika hapa