Historia za matajiri Tanzania

Historia za matajiri Tanzania

kudra hamidu

Senior Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
152
Reaction score
110
Habari wanajamvi
Kwa kipindi cha mda mrefu matajiri wa Tanzania wamekuwa wasiri sana kiasi kwamba ni vigumu kufahamu historia zao yani
1.chimbuko lao haswa
2.waliupataje utajiri wao
3.hadi sasa wako wapi na shughuli zao kubwa.

Ni vyema kufahamu historia za Watu kama
1.ssb
2.mi
3.mr.yanga
4.rostam
5.p.ngowi
6.r.mengi

Hii itasaidia vijana wapambanaji kutokukata tamaa kirahisi.
Kwa wanaofahamu japo kwa ufupi historia za hawa wabongo wenzetu wenye ukwasi wa hali ya juu na atufahamishe.
Natanguliza shukran
 
Utajiri wa makafara huwa daima unakuwa wa siri siri.

Ukiona tajiri hataki kutoa historia yake alivyokwenda mpaka akatoka, jua nyuma ya pazia kuna makafara.
 
Habari wanajamvi
Kwa kipindi cha mda mrefu matajiri wa Tanzania wamekuwa wasiri sana kiasi kwamba ni vigumu kufahamu historia zao yani
1.chimbuko lao haswa
2.waliupataje utajiri wao
3.hadi sasa wako wapi na shughuli zao kubwa.

Ni vyema kufahamu historia za Watu kama
1.ssb
2.mi
3.mr.yanga
4.rostam
5.p.ngowi
6.r.mengi

Hii itasaidia vijana wapambanaji kutokukata tamaa kirahisi.
Kwa wanaofahamu japo kwa ufupi historia za hawa wabongo wenzetu wenye ukwasi wa hali ya juu na atufahamishe.
Natanguliza shukran

RUGEMARILA
 
Wapo ila nambie ni wapi na lini umeisikia story ya ssb toka kwenye mdomo wake,kama sio story za mtaani zakusadikika?
 
Back
Top Bottom