sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Habarini wakuu
Nilikutana nåe huyu manzi since hajatendwa kwenye mapenzi nilikaa nae kwenye mahusiano kwa mda, akajiingiza kwenye makundi (marafiki wabaya) na vijiwe vyote vya hapa mjini alikuwa anavijua, alitoroka kwao kwa siku kadhaa, ndani ya siku alizotoroka nilikutana nae bugurubi kimboka nilimchukua nikamshauri, akarudi kwao lakini baada ya miezi kadhaa akatoroka Tena, hapo sikupata bahati ya kuonana nae Tena, ila tu nilikuwa napata update zake, umepita kama Mwaka nå nusu niliambiwa alipata mimba na wanaume wote aliokuwa anadate nao waliikataa, hivyo aliamua kurudi home na nu surrender, walifanya siri nå mama ake ile mimba waliitoa, na msichana amerud kwao,
(Nafahamu kila kitu kuhusu huyu msichana)
Mwezi uliopita nimekutana nae kila mmoja alimshangaa mwenzie, tukapeana namba za simu na tukaanza kuwasiliana, convetional zinaonyesha amebadilika mno cyo yule wa kipindi kile, nilivyomwambia kwamba bado namuhitaji aliniambia hamwamini mtu yeyote na hawezi kumwamin kiumbe kinachoitwa mwanaume (nafahamu mapito yake ila bado nampenda) ukweli ni kwamba bado nampenda ila tatizo haniamini nimejitahid kujiaminisha kwake
Note
Historia na mapito aliyopitia yanasababisha asiamini nachomwambia japo sijawai kumfanyia uhuni wala kugombana nae