Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Aug 10, 2019 #1 Nimemtambua Chispher Kasanga Tumbo, Rev Mtikila(RIP), Chief Fundikira, Kasela Bantu
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,559 142,330 Aug 12, 2019 #3 Ahsante kwa kumbukumbu... Cc: mahondaw
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Aug 15, 2019 Thread starter #5 General Galadudu said: Mbona sijamuona KUB hapo Click to expand... Wakati huo alikuwa bado kwenye siasa
General Galadudu said: Mbona sijamuona KUB hapo Click to expand... Wakati huo alikuwa bado kwenye siasa
Kawe Alumni JF-Expert Member Mar 20, 2019 8,685 11,988 Aug 15, 2019 #6 Hapo utakuta nusu ni wanawing kipindi hicho
General Galadudu JF-Expert Member Nov 7, 2015 1,837 2,119 Aug 16, 2019 #7 Sky Eclat said: Wakati huo alikuwa bado kwenye siasa Click to expand... Na sasa hivi je....
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,065 23,947 Aug 16, 2019 #8 Kijitu Golum said: KUB ni nani? Tusaidieni tusiofahamu hizo codes. Click to expand... Kiongozi wa upinzania bungeni (KUB)
Kijitu Golum said: KUB ni nani? Tusaidieni tusiofahamu hizo codes. Click to expand... Kiongozi wa upinzania bungeni (KUB)
General Galadudu JF-Expert Member Nov 7, 2015 1,837 2,119 Aug 17, 2019 #9 Kijitu Golum said: KUB ni nani? Tusaidieni tusiofahamu hizo codes. Click to expand... Mkuu unaishi wapi
Kijitu Golum said: KUB ni nani? Tusaidieni tusiofahamu hizo codes. Click to expand... Mkuu unaishi wapi
General Galadudu JF-Expert Member Nov 7, 2015 1,837 2,119 Aug 18, 2019 #10 Kijitu Golum said: Hapa hapa, we acha tu haya maisha yamekuwa hayaeleweki kwa sisi wengine mpaka vitu vidogo tunashindwa kuvijua! Click to expand... maisha ni yale yale tu mkuu sema wengi kuna mahali tunakwama
Kijitu Golum said: Hapa hapa, we acha tu haya maisha yamekuwa hayaeleweki kwa sisi wengine mpaka vitu vidogo tunashindwa kuvijua! Click to expand... maisha ni yale yale tu mkuu sema wengi kuna mahali tunakwama
ulaya12 JF-Expert Member Nov 16, 2017 834 898 Aug 23, 2019 #11 Kijitu Golum said: KUB ni nani? Tusaidieni tusiofahamu hizo codes. Click to expand... Kiongozi wa upinzani bungeni
Kijitu Golum said: KUB ni nani? Tusaidieni tusiofahamu hizo codes. Click to expand... Kiongozi wa upinzani bungeni