Na sasa hivi je....Wakati huo alikuwa bado kwenye siasa
Kiongozi wa upinzania bungeni (KUB)KUB ni nani?
Tusaidieni tusiofahamu hizo codes.
Mkuu unaishi wapiKUB ni nani?
Tusaidieni tusiofahamu hizo codes.
maisha ni yale yale tu mkuu sema wengi kuna mahali tunakwamaHapa hapa, we acha tu haya maisha yamekuwa hayaeleweki kwa sisi wengine mpaka vitu vidogo tunashindwa kuvijua!
Kiongozi wa upinzani bungeniKUB ni nani?
Tusaidieni tusiofahamu hizo codes.