Historia ya vita vya adwa

Doctor Sebas

Member
Jul 19, 2017
30
41
*vita vya adwa*
Hivi ni vita vilivopiganwa kati ya Ethiopia na Italia, mnamo mwaka 1896.

Kwa wakati huo, ethiopia ilikuwa ikijulikana kama "Abyssinia" na ilikuwa ikiongozwa na mfalme menelik wa pili.

*chanzo cha vita*

Vita hivi vilisababishwa na utata uliojitokeza katika *mkataba wa wuchale*,
Katika mkataba huu, ilikubaliwa kwamba miji ya bogos, akkhele, guzay, serai (ambayo ni miji ya eritrea iliyokuwa chini ya ethiopia)wapewe italy na kisha italy itoe kiasi cha pesa na mahitaji kwa ethiopia.

Lakini,
Katika kipengele kimoja cha mkataba huo kilikuwa na utata.

Utata huo ulitokana na kwamba mkataba huo uliandikwa kwa kutumia lugha mbili, ambazo ni "Kiitaliano", na "Ahramaic"-kilichozungumzwa nchini ethiopia.

Mfalme menelik alisaini mkataba wa lugha ya kiahramaic ambapo kuna kipengele kinasema mfalme wa ethiopia *"Must"* intervene foreign affair in italian office - yaani kwamba menelik ni lazima aingilie mambo ya kigeni katika ofisi za kiitaliano.

Wakati kwenye mkataba huohuo ulioandikwa kwa kiitaliano, unasema mfalme wa ethiopia *"Could"* intervene foreign affairs in italian office.

Ukitazama kwa makini, utaona mkataba ulioandikwa kwa kiitaliano haumpi madaraka kamili mfalme wa ethiopia, na hivyo kuifanya italy kuitawala ethiopia kama koloni (protectorate).

Na ikumbukwe pia kwamba ilikuwa ni janja janja ya muitaliano kutaka kuitawala ethiopia kutumia mkataba huo.

Sasa basi, baada ya mfalme menelik kugundua ulaghai aliofanyiwa, akaamua kupinga na kuvunja mka*vita vya adwa*
Hivi ni vita vilivopiganwa kati ya ethiopia na italia, mnamo mwaka 1896.

Sasa basi, baada ya mfalme menelik kugundua ulaghai aliofanyiwa, akaamua kupinga na kuvunja mkataba huo.

Kwa kuona hivyo, italia, ikatumia mabavu ya kijeshi kuipiga ethiopia ili kuitawala..Ikateka mji wa *adwa* na ndipo mapigano yakapamba moto.

Lakini mwishowe ethiopia ikashinda.

.......Na huo ndio mwisho wa vita vya adwa au adowa nchini ethiopia....

Sent using jamii forums mobile app
 
asante kwa ukumbusho mleta mada,waethopia wanaongea ki amhara siyo arhamaic kama ulivoandika
 
Back
Top Bottom