IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,027
Naomba kupata elimu juu ya haya majengo marefu zaidi kabla ya karne ya 19.
1. Nani walijenga watumwa au wafanyakazi wa kawaida?
2. Ndani ya majengo haya kuna nini?
3. Lengo la kujenga lilikuwa nini?
4. Kwa sasa yanatumika au.yapo km majumba ya makumbusho?
5. Mawe makubwa km Yale waliyapandishaje?
NB: Maana sahihi ya uhuru wa kuzungumza ni kusikiliza na Yale tusiyoyapenda na si tunayoyapenda tu.
Tunavyoruhusu ya wengine kuandikwa na ruhusu na yako pia yaandikwe na yajadiliwe kwa Uhuru.