Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,700
- 2,673
Sisi wakatoliki tunasema tunapokea watu wa aina zote kama tunavyopokea na kusali na wazinzi, wezi wa kura n.kNini msimamo wake kuhusu mabwabwa kuwa sehemu ya ukatoliki?
Hapo ndio tutaanza kumpima uwezo wake kiimani. Akianza danadana ya kuupigia debe upinde tutampelekea moto wa mashambulizi mpaka ateme bungo.