KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,447
- 5,447
In a way you're right, but he wanted to usurp the Pope's power.So Trump Donald was right?
In a way you're right, but he wanted to usurp the Pope's power.So Trump Donald was right?
Lakini hutasikia Dr.Papa Leo
Huna mawazo ya familia,huna shida ya hela kwanini usisome sasa kaka.Kabisa mkuu. Nina mjomba wangu ni Padri. Ni kweli wanasoma sana
Mavi labda ya kwako, unamuwekea maneno ambayo yana maana yako.Kikubwa asije akafanana na Yule mavi fiducial supplicant alieacha harufu ya umavi mavi kwenye majengo ya Vatican na dhehebu la kikatoliki...na amekufa kama mbwa asie na heshima yoyote....
Ndio akili zako zilipo koma? Unawaza mabwabwa tu yamkinu wewe ni mmoja wapo.Nini msimamo wake kuhusu mabwabwa kuwa sehemu ya ukatoliki?
Hapo ndio tutaanza kumpima uwezo wake kiimani. Akianza danadana ya kuupigia debe upinde tutampelekea moto wa mashambulizi mpaka ateme bungo.
Walau na sisi Mathematicians tumetoa Papa😁 katika historia ya kanisaHUYU NDIYE PAPA MPYA.
Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, Anachukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake mnamo Mei 8, 2025, kunamfanya kuwa Mmarekani wa kwanza kushika wadhifa huu katika historia ya miaka 2,000 ya Kanisa Katoliki .
ELIMU NA MAISHA YAKE YA AWALI
Prevost amehitimu Shahada ya Sayansi katika Hisabati kutoka Chuo Kikuu cha Villanova mwaka 1977. Baadaye, akafanikiwa kujiunga na Shirika la Mtakatifu Augustino (OSA) mwaka huo huo, na akaweka nadhiri zake za milele mnamo Agosti 1981. Amepta Shahada ya Uzamili katika Theolojia kutoka Catholic Theological Union mjini Chicago, na kisha Shahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamivu katika Sheria ya Kanisa kutoka Chuo Kikuu cha Kipapa cha Mtakatifu Thomas Aquinas (Angelicum) mjini Roma .
HUDUMA YA KICHUNGAJI NA UONGOZI
Baada ya kupewa daraja la upadre mwaka 1982, Prevost ametumika Peru mwaka 1985 kama mmisionari. Ametumikia katika maeneo mbalimbali ya Peru, ikiwa ni pamoja na Chulucanas na Trujillo, ambako amehudumu kama paroko, mkurugenzi wa malezi, mwalimu wa sheria za kanisa, na jaji wa mahakama ya kanisa.
Soma Pia: Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV
Mnamo mwaka 1999, alichaguliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shirika la Augustino huko Chicago, na mwaka 2001 alichaguliwa kuwa mkuu mkuu wa shirika hilo duniani, nafasi aliyoitumikia hadi mwaka 2013 .
Mwaka 2014, Papa Francis alimteua kuwa msimamizi wa kitume wa Dayosisi ya Chiclayo nchini Peru, na mwaka uliofuata akawa askofu wa dayosisi hiyo. Katika kipindi chake huko, amehudumu pia kama makamu wa rais wa Baraza la Maaskofu wa Peru kuanzia mwaka 2018 hadi 2023 .
NAFASI ZA JUU VATICAN NA UCHAGUZI WA UPAPA.
Mnamo Januari 2023, Prevost aliteuliwa na Papa Francis kuwa mkuu wa Idara ya Maaskofu (Dicastery for Bishops) na rais wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini. Katika nafasi hii, amekuwa na jukumu la kuidhinisha uteuzi wa maaskofu duniani kote, jambo lililompa ushawishi mkubwa ndani ya Kanisa Katoliki .
Katika hatua nyingine Aliteuliwa kuwa kardinali mnamo Septemba 30, 2023, na baada ya kifo cha Papa Francis mnamo Aprili 21, 2025, amechaguliwa kuwa Papa katika mzunguko wa nne wa upigaji kura wa mkutano wa makardinali (conclave) uliofanyika Mei 8, 2025 .
MAISHA BINAFSI NA MTAZAMO WA KICHUNGAJI
Prevost ana uraia wa Marekani na Peru, na Anajulikana kwa mtazamo wake wa wastani na uongozi wa kidiplomasia, akifanana na mtangulizi wake, Papa Francis, katika msisitizo wa huduma kwa maskini na mageuzi ndani ya Kanisa .
Kuchaguliwa kwake kama Papa Leo wa XIV kunatarajiwa kuendeleza mwelekeo wa mageuzi na ushirikishwaji ulioanzishwa na Papa Francis, huku akikabili changamoto za kifedha na kiroho ndani ya Vatican .
Nani huyo?Lakini hutasikia Dr.Papa Leo
Njoo kwa huyu aliepewa za kuunga unga.
Mheshimiwa …Daktari, Mama…
ndio maana wakitoa waraka nchi inatetemekaSasa unasemea papa? Ukiona mtu anaitwa askofu jua ana PhD (hapo sijaongelewa makadinali ambao ndio wanakua mapapa).
NB: Achilia mbali askofu au kadinali, ukiona mtu kapata upadri jua kichwani kuna elimu ya maana sio hizi za kuungaunga!
Kwa mda alioyeteuliwa kuwa Kadnali ni kama aliandaliwa kuwa Papa, September 30, 2023 ni juzi hapo.Katika hatua nyingine Aliteuliwa kuwa kardinali mnamo Septemba 30, 2023, na baada ya kifo cha Papa Francis mnamo Aprili 21, 2025, amechaguliwa kuwa Papa katika mzunguko wa nne wa upigaji kura wa mkutano wa makardinali (conclave) uliofanyika Mei 8, 2025
Hahahaha yaani ntakupiga mashavu mpaka uzimie barakoa wewe!Walokole na masalia ya bibi Ellen G whites wanadai marekani ni taifa la kipepo sasa papa katoka huko ni moto juu ya moto maninaa
Dada yangu sharbela Mimi naishi nachingwea...Sijawahi kufika italiaMavi labda ya kwako, unamuwekea maneno ambayo yana maana yako.
NASEMAJE walokole na masalia ya bibi Ellen G whites watajijua huko kutwa kuhama makanisa kutafuta upako,Hahahaha yaani ntakupiga mashavu mpaka uzimie barakoa wewe!
Acha kuisimanga dini ya wifi yangu Lamomy
Heshimu wasabato.
Cc: Extrovert cocastic Mbaga Jr SECRETARY BIRD
Kichwani kuna elimu unabusu mbao au kiloba cha cement.Sasa unasemea papa? Ukiona mtu anaitwa askofu jua ana PhD (hapo sijaongelewa makadinali ambao ndio wanakua mapapa).
NB: Achilia mbali askofu au kadinali, ukiona mtu kapata upadri jua kichwani kuna elimu ya maana sio hizi za kuungaunga!
Kabisa mkuu. Nina mjomba wangu ni Padri. Ni kweli wanasoma sana
🤣Lugambwa ludi tu sasa tupambane na no reform no election
Sawa ShangaziDada yangu sharbela Mimi naishi nachingwea...Sijawahi kufika italia