1. Meeting with people with High Lanks ( MaRais, Viongozi wa serikali / dini :- talking with them, advicing them , exchanging ideas )
2. Kwenye Kambi za jeshi ( and mostly Huwa naonekana nikiwa kambinj ( bwenini )
Hizo ni ndoto ambazo hujirudia mara Kwa mara.
Zamani , I use to see Jesus Christ appearing in dreams several times .
Brother we unaumwa kidogo ubongoni.
Umenifanya nikamkumbuka ndugu yangu mmoja alikua kichwa sana.
Huyo Makerere ya enzi zile kasoma na viongozi kibao tu.
Ila mi toka namjua,ni Chizi
lakini hakuwa chizi alitengwa tu pale kijijini
na nilikua mtu pekee naweza kukaa nae akinipa story nyingi saana.
Na hakuwa mwongo,makabrasha yote,picha,vyeti alikua navyo hapo ndani kwenye kijumba cha nyasi.
Ikapita muda hatukuonana.
Siku nimeenda kijijini km kawaida.
Nikauliza huyu jamaa yuko wapi mbona sioni kile kijumba alikua anakaa.
Ndio nikaambiwa lile shamba limeuzwa,
Nayeye kaondoka,nikasikitika sana.
Sasa kilichoniacha hoi bahati nzuri akaja kusalimia pale kijijini tukaonana.
Aisee ndo nikajua jamaa alikua anaumwa Hela tu.
Maana siku hiyo namuona alikua msafi kala pamba safi kabisa km sio yeye.
Yaani nilibaki kucheka nikimuuliza anko imekuwaje,ananiambia mjini hapa anko.
Sijui km bado yupo yule mdingi.
Sasa nawewe unaweza kuwa una maradhi si makubwa.
Pesa na kukataliwa.
Tafuta hela kwanza utakubaliwa na kupona.