MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
- Thread starter
-
- #241
Sawa. But kwà upande wangu ... My mind is ready. Siogopi tena kufa.Ulipata msaada wowote wa mawazo nisaidie
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] natafuta mtu nikutane nae tulieeee weee mpaka basiSawa. But kwà upande wangu ... My mind is ready. Siogopi tena kufa.
Sometimes namuomba Mungu asiniamshe tena...nilale jumla.
Au sometimes nikiwa ndani ya bus nakua naomba bus lianguke ...na liniue Mimi PEKE yangu ..wengine wote wasipate hata jeraha...nife Mimi tu. Lakini Mungu hajawahi nijibu hata hilo
Nashukuru kwà mawazo yako. Na kwà mtizamo wako.Mleta mada ujuaji na mdomo wako ndivyo vimekufikisha hapa.
Kwakuwa maisha yako umeyavuruga mwenyewe kwa kujitia ujuaji, basi ni muda sasa wa kujikubali mwenyewe na kufocus kwa kujibidiisha.
Umri wako umeenda why hutambui hilo?
Jipe utulivu wa akili, acha kuishi kwa ndoto na sio wote waliopo mtaani wamefanikiwa kupitia elimu.
Blah blah zimekuwa nyingi sana na haiendani na umri wako.
Jitambue. Hapo upo kwenye hatua ya kufail vyote kwa pamoja. Umeshindwa kuwa na msimamo wala huna utulivu. Umefail hata kujenga family katika umri wako simply coz hujajipa utulivu wa akili thats why hata wanawake tu unashindwa kudumu nao.
Huwezi kufanikiwa ikiwa utaendelea kutangatanga.
Kwa huo umri wako ww sio wa kulilia ajira na kutukuza vyeti.
Kuna mambo mengi sana ya kufanya huku mtaani na maisha yakasonga.
Tatizo lako ni kwamba huwezi kujishikilia mwenyewe ndo maana unaishia kuwa homeless na kuona as if dunia inakutenga.
Acha ujuaji mkuu. Dunia uwanja wa vita. Pambana mwenyewe utalialia mpaka lini?
Maneno Yako ni makali sana , na yamenipa nguvu zaidi ya kufanya ninachokifikiria.Mleta mada ujuaji na mdomo wako ndivyo vimekufikisha hapa.
Kwakuwa maisha yako umeyavuruga mwenyewe kwa kujitia ujuaji, basi ni muda sasa wa kujikubali mwenyewe na kufocus kwa kujibidiisha.
Umri wako umeenda why hutambui hilo?
Jipe utulivu wa akili, acha kuishi kwa ndoto na sio wote waliopo mtaani wamefanikiwa kupitia elimu.
Blah blah zimekuwa nyingi sana na haiendani na umri wako.
Jitambue. Hapo upo kwenye hatua ya kufail vyote kwa pamoja. Umeshindwa kuwa na msimamo wala huna utulivu. Umefail hata kujenga family katika umri wako simply coz hujajipa utulivu wa akili thats why hata wanawake tu unashindwa kudumu nao.
Huwezi kufanikiwa ikiwa utaendelea kutangatanga.
Kwa huo umri wako ww sio wa kulilia ajira na kutukuza vyeti.
Kuna mambo mengi sana ya kufanya huku mtaani na maisha yakasonga.
Tatizo lako ni kwamba huwezi kujishikilia mwenyewe ndo maana unaishia kuwa homeless na kuona as if dunia inakutenga.
Acha ujuaji mkuu. Dunia uwanja wa vita. Pambana mwenyewe utalialia mpaka lini?
Ujuaji naomaanisha hapa sio mpaka ufanye vurugu. Na sio kila unachokiona na kusikia sio lazima ukiripoti au ufanyie ufukunyuku.Nashukuru kwà mawazo yako. Na kwà mtizamo wako.
Kama umeona....nimesema nimesoma seminary Ndugu yangu.... Kuandika yote haya haimaniishi kuwa ni mjuaji sana + nina mdomo sana.
Mimi ni mtu mkimya sana....na sina mazoea na watu hovyohovyo. Haya yamenifika hata wewe pia yanaweza kukufika.
Tatizo ni kwamba mtu kama hajafanikiwa siku zote huonekana mzembe. Lakini , kiukweli napambana sana tena kwà kutumia akili sana.
Na nimejaribu kufanya vitu vingi sana sana.
Life is a mysteryAnd I thought I've heard it all. .
My friend... Napenda sana watoto wangu na wote kwà ujumla hata wasiokua wangu.Ujuaji naomaanisha hapa sio mpaka ufanye vurugu. Na sio kila unachokiona na kusikia sio lazima ukiripoti au ufanyie ufukunyuku.
Binafsi sijafanikiwa lakini kamwe siruhusu kukata tamaa. Nina roho ya jiwe na sitarajii kuombea kifo. Kwenye maisha yangu kwakweli naomba kifo kinipitie mbali lau kidogo nitimize machache yanayo nikabiri.
Leo hii unajiombea kufa?! Ushawahi kujiuliza juu ya wanao? Umejidhatiti vipi kuwapambania wanao unataka warithi FAILUREs zako? hebu jipe muda utafakali
Lakini kwanini unakuwa mwepesi wa kutamka kwamba USHAFELI?!!My friend... Napenda sana watoto wangu na wote kwà ujumla hata wasiokua wangu.
KILA nikiwafikiria...nakua stressed sana sana. Lakini nitafanyaje....je niendelee kutoil..huku nikijipa moyo kuwa NITATOBOA...wakati kibinadamu tayari nimeyakanyaga?...
Hapa ni kama na bet utokee muujiza....
Lakini nshafail Mimi Blaza...sina namna
Kulia ni dawa,kama inaweza lia umalize kila kitu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] natafuta mtu nikutane nae tulieeee weee mpaka basi
Achana nae mkuu,acha kujiongezea stress nyingine kila mtu na mtazamo wakeManeno Yako ni makali sana , na yamenipa nguvu zaidi ya kufanya ninachokifikiria.
Wanasema ..ukifa watu watakusahau fast
Lakini ukiishi...watu watakukumbuka.
So bora nipotee...kamaulivyosema...tayari nimeisha poteza step...my life is both useless + meaningless
ThanksAchana nae mkuu,acha kujiongezea stress nyingine kila mtu na mtazamo wake
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
So unaunga juhudi za yeye kukata tamaa?!
Ni kweli Ndugu. Nakubaliana nawe sana sana.So unaunga juhudi za yeye kukata tamaa?!
Huyu jamaa anang'ang'ana na formal life.
Analazimisha mfumo wa maisha ya ajira wakati hatua hiyo aliifikia na akaiishi na IKAMTEMA!
SASA YANINI UKOMAE NA FORMULA ILIYOGOMA? SIKU ZINAENDA, MAISHA YANAMCHAPA UMRI NAO UNASOGEA NA NGUVU ZINAPUNGUA KIMWILI NA KIROHO YOU WILL EVENTUALLY STRESS YOURSELF.
UNA 40 YRS+ BADO UNAZUNGUKA NA BAHASHA KUOMBA AJIRA?!!
THATS WHY NAKAZIA KWAMBA AJIKUBALI AFUTE MENTALITY KWAMBA THERE IS SMBODY HAS JUST IMPORSED A CURSE UPON HIM TO MAKE HIS LIFE TOO MISARABLE.
KWENYE MAISHA KILA KITU KINA HATUA NA HU EXPIRE KADRI UNAVYO DELAY.
KUFUKUZIA AJIRA MEANS KUJIANDAA KUTENGENEZA FUTURE LIFE KUPITIA MAARIFA ULIYOGAIN SHULE (WHILE OTHER WAYS REMAIN CONSTANT)
HATUA HIYO KISHAVUKA PATUPU.
SASA ATUMIE OTHERWAYS TO RESCURE THE SITUATION NA WANAE.
Mkuu mimi ninayo mengi yaliyonisibu na kupitia. Sina haja ya kuya expose hapa.Ni kweli Ndugu. Nakubaliana nawe sana sana.
Kwenye shughuli zako ulizofanya kuna Mali zozote unazozimiliki mpaka sasa? kama ulikuwa nazo ziliisha vp?Amina
Mi mwenyewe nakuona kama umechanganyikiwa hiviKiukweli, ninayo ya kuandika hapa lakinj ni forbidden siwezi kuyasema cause Naweza kuonekana kama mwendawazimu, kichaa, chizi au mwehu.
Ndugu yangu....ushauri wako ni mzuri sana sana. Naukubali...unaongea kama mwanajeshi...lakini kuna baadhi ya maneno yako , nikiyasoma between the lines ...ni kama I am useless...sifai hata kuishi. I mean like..yananipa akili kama ya Chief Mkwawa..." Je niendelee kupambana mpaka maadui wanikamate, au nijimalize wanikute sipo hai? " ...Shortly, kila nikipiga mahesabu...naona "HAMNA KITU" ...Hii vita ni kali sana....ni zaidi ya vita ya kiuchumi.Mkuu mimi ninayo mengi yaliyonisibu na kupitia. Sina haja ya kuya expose hapa.
Ni muda wa wewe kujikubali na kuamka na ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.
Futa yote uliyopitia. Mi mwenzio mwaka wa kumi na moja huu tangu niamue kuchoma moto vyeti vyangu.
Niliingia mtaani na akili za kishule na perseption za kisomi nikaishia kupuyanga mtaa unirudisha darasani tena!!
Nimeoa nafamilia. Kilicho niokoa napenda kujiwekezea na sio mwepesi wa ku throw away nachomiriki kwa maana ya kukimbilia kujinasua na changamoto.
Siku zote mtaa huwa hauruhusu watu wepesi wa kukata tamaa.
Usiruhusu mtu akujue sana, usifuatilie sana mambo ya mtu. Jenga mahusiano yenye mipaka na jamii inayokuzunguka.
Hama mazingira uliyopo make huwezi kuanza upya ukiwa hapo watakunyanyapaa na hutakuwa na amani na kile unachoenda kufanya na hakitapata maximum support.
......
Tutachekiana baadae nipo kwenye mihanjo time hii.
Mimi sio DeoDeo Kisandu moto wa padre PIO.Mtemi wa machiz wote woyeeee