Historia ya Mzee Kipusa

...mara ya 1 nilikomenti bila kusoma... Labda unaweza kutuambia jina lako halisi... Au unahofia usalama wako... Kwakwel nimesisimka kweli... Pole pia mkuu kwa mikasa kama hii... Wewe mheshimiwa MZALENDO... Tunaomba utupe jina lako kama utakuwa tayar kujisacrifice lakn maana najua itakuwa ni hatar kwa maisha yako mheshimiwa... Natanguliza pole...
 
Siwezi kuliweka jina langu halisi hapa.

Lakini kama nitachukua maamuzi magumu. BASI lazima nitaacha ujumbe kwenye mfuko wangu wa suruali ama kwenye mfuko wa shati...kuwadirect watakao uchukua mwili wangu waupitie uzi huu. Hapa Jamii Forum

Hapo ndipo mtalijua jina langu halisi
 
...kama kwel wewe ni mzalendo wa nch yetu... Itoshe tu kusema mimi nakuombea na kwa niaba ya wananch wanaopata athari ktokana na mafisadi nakuombea pia maombi yangu yakiwawakilisha wananch wanyonge...
 
...kama kwel wewe ni mzalendo wa nch yetu... Itoshe tu kusema mimi nakuombea na kwa niaba ya wananch wanaopata athari ktokana na mafisadi nakuombea pia maombi yangu yakiwawakilisha wananch wanyonge...
Amen. Mungu anisaidie , anitetee na anipiganie...

Kiukweli, bila yeye..siwezi asee...siwezi...nimechoka!!!
 
Tuachane na hilo la Kibiti.

Ustawi wa jamii waweza kukusaidia kurudi kwenye mstari khasa kwenye ajira kama bado una uwezo wa kufanya kazi.

Pia wana wajibu wa kukusaidia kiasi kidogo cha fedha za kijikimu endapo ipo programs za kuwasaidia wananchi wenye uhitaji kama wako.

Pia waweza kukushauri namna ya kuweza kupata makazi ya muda kabla hujasimama baada ya kupata kibarua mahala.

Pia waweza kukusaidia kupata mafao ambayo huenda ulikuwa ukikatwa ulipokuwa ukifanya kazi.

Ni kujaribu tu, maana nchi yetu ustawi wa jamii pia watakiwa kuwa na kamba.
 
Hivi ni kweli
 
Asante kwà ushauri...though kuhusu makato...

Nasikitika kusema...mwajiri wangu hakuwahi kuyapeleka kwenye mfuko wangu ( PSPF )
 
Amen. Mungu anisaidie , anitetee na anipiganie...

Kiukweli, bila yeye..siwezi asee...siwezi...nimechoka!!!
uskate tamaa mheshimiwa... Fanya ambacho kinastahili kwa niaba ya nchi, kama alivokuwaga rais wetu maguful usiogope, nakuombea mheshimiwa...
 
Mleta mada ujuaji na mdomo wako ndivyo vimekufikisha hapa.

Kwakuwa maisha yako umeyavuruga mwenyewe kwa kujitia ujuaji, basi ni muda sasa wa kujikubali mwenyewe na kufocus kwa kujibidiisha.
Umri wako umeenda why hutambui hilo?
Jipe utulivu wa akili, acha kuishi kwa ndoto na sio wote waliopo mtaani wamefanikiwa kupitia elimu.
Blah blah zimekuwa nyingi sana na haiendani na umri wako.
Jitambue. Hapo upo kwenye hatua ya kufail vyote kwa pamoja. Umeshindwa kuwa na msimamo wala huna utulivu. Umefail hata kujenga family katika umri wako simply coz hujajipa utulivu wa akili thats why hata wanawake tu unashindwa kudumu nao.
Huwezi kufanikiwa ikiwa utaendelea kutangatanga.

Kwa huo umri wako ww sio wa kulilia ajira na kutukuza vyeti.
Kuna mambo mengi sana ya kufanya huku mtaani na maisha yakasonga.

Tatizo lako ni kwamba huwezi kujishikilia mwenyewe ndo maana unaishia kuwa homeless na kuona as if dunia inakutenga.
Acha ujuaji mkuu. Dunia uwanja wa vita. Pambana mwenyewe utalialia mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…