Ukiangalia kwa jicho la mbali bila unafiki,kwa kweli bora tuendelee kuongozwa na ccm kuliko watu hawa,hawana lolote!!ok now mnatuambia ugomvi wa makan na mtei 1995,kipi kilichokuwepo nyuma ya pazia?masilahi binafsi,na ni hayo hayo ndio mbowe unayoyapigania,wadanganyeni watanzania wote,i will b the last kuwa na imani na uongozi wa cdm wa sasa!!shame on you mbowe!!!ni bora ufe kabisa.
Hivi adui wa CCM na watawala wake ni CHADEMA yenyewe ama ni watu fulani hususan Mbowe na Dr. Slaa?. Kwa nini kila mara watawala na chama chao wanatumia kibwagizo cha DEMOKRASIA kama silaha ya kuwashambulia Mbowe na wengineo na sio kujikita katika kuwatumikia wananchi na kutekeleza makumi ya ahadi walizowaahidi wananchi wa Tanzania?.
Hivi adui wa CCM na watawala wake ni CHADEMA yenyewe ama ni watu fulani hususan Mbowe na Dr. Slaa?. Kwa nini kila mara watawala na chama chao wanatumia kibwagizo cha DEMOKRASIA kama silaha ya kuwashambulia akina Mbowe na Dr. Slaa.
Tutawaongezea Mbowe na Dr Slaa miaka kumi halafu baada ya hapo Tutamkabidhi Chama Tundu Lissu kama Mwenyekiti na Mnyika Katibu Mkuu.
Cjaona maslahi binafsi ya mbowe ila ninachojua amegombea mara 2 tu na akashinda kikatiba kabisa! Na huu ndio muda wake wa mwisho katika uongozi.sasa nashindwa kuelewa hii sympath ya ccm inatoka wapi? Maana jk kagombea mara 2 na akashinda kwa mujibu wa katiba sasa mbona cwasikii mkimwita dictator au ana maslahi binafsi?kiukweli siwaelewi kabisa labda njooni na hoja kuntu kwa kuainisha uhalisia na c porojo za humu jamvini.
Usiwapotoshe watanzania alichokisema Mbowe ni hiki hapa watanzania naomba m-download hotumba zima ya Mbowe na makamanda wengine Jana akiwa Mwanza.. Moderator naomba speech hii ya Mbowe iwekwe kwenye Thread ili watu walinganishe na upotoshaji unaofanywa na vibaraka wa CCM.MBOWE ATAKA HISTORIA YAKE ITUMIKE KUHALALISHA YEYE KUBAKI MADARAKANI KWA MABAVU KWA KISINGIZIO CHA KULINDA CHAMA
Wewe mnafiki nisome hapo juu...Cjaona maslahi binafsi ya mbowe ila ninachojua amegombea mara 2 tu na akashinda kikatiba kabisa! Na huu ndio muda wake wa mwisho katika uongozi.sasa nashindwa kuelewa hii sympath ya ccm inatoka wapi? Maana jk kagombea mara 2 na akashinda kwa mujibu wa katiba sasa mbona cwasikii mkimwita dictator au ana maslahi binafsi?kiukweli siwaelewi kabisa labda njooni na hoja kuntu kwa kuainisha uhalisia na c porojo za humu jamvini.
Ukiangalia kwa jicho la mbali bila unafiki,kwa kweli bora tuendelee kuongozwa na ccm kuliko watu hawa,hawana lolote!!ok now mnatuambia ugomvi wa makan na mtei 1995,kipi kilichokuwepo nyuma ya pazia?masilahi binafsi,na ni hayo hayo ndio mbowe unayoyapigania,wadanganyeni watanzania wote,i will b the last kuwa na imani na uongozi wa cdm wa sasa!!shame on you mbowe!!!ni bora ufe kabisa.
Mpendwa,mimi cjui adui wa ccm ni Chadema au la!!nilichoongelea ni kwamba chadema kama taasisi ina misingi imara tu,tatizo ni uongozi.Migogoro yote iliyowahi tokea chadema imemhusisha Mbowe moja kwa moja,na mara zote yeye amekuwa akibaki salama,ckatai yawezekana kabisa yupo sahihi katika maamuzi yake kwenye hiyo migogoro.
Ila ukitizama kwa mbali ukifungua kichwa chako utaona hata anapobainisha historia yake ndani ya chama utaona kuna harufu fulani ya kuonyesha namna alivyogharamika kukifikisha chama hapo kilipo pamoja na wakina Ndesamburo!!
Na hilo limefanya kila kunapokuwepo na migogoro ni lazima yeye awe sahihi na kwa sababu usalama wako CDM unategemea jinsi gani mawazo yako yanaendana na Mbowe,then asilimia kubwa ni wa kumuunga mkono wazi wazi au wanabaki neutral kama wakina Baregu,Prof Safari na wengineo.Narudia tena sababu watanzania tumeichoka ccm na tunahitaji mabadiliko,Mwenyezi Mungu aondoe huo uongozi wa mbowe na Slaa,kwa style yeyote,ikibidi Israel awatembelee tu then hapo ndio cdm ishike dola otherwise ni kudanganyana tu,tutajuta na kusaga meno.
Usiwapotoshe watanzania alichokisema Mbowe ni hiki hapa watanzania naomba m-download hotumba zima ya Mbowe na makamanda wengine Jana akiwa Mwanza.. Moderator naomba speech hii ya Mbowe iwekwe kwenye Thread ili watu walinganishe na upotoshaji unaofanywa na vibaraka wa CCM.